Habarini wadau na heshima kwenu sana! Ninasoma chuo, Tumaini-Iringa,nahitaji sana kupata kijikazi chochote ili walau niweze kuingiza kipato,hata kama ni mia tano kwa wiki. Nashindwa sema kazi kwa kuwa bado ni mwanafunzi, na nina hakika kuwa kuna mtu mwelewa ambaye ataelewa hili,I am really in need,hiyo kaz iwe reasonable and morally acceptable,nitaifanya hata usiku,i know there is a way to make an arrangement. Najua details zangu na hata kichwa zinaweza kuwa zimefall short,bt instead of respond negatively plz u give me a way to put it more clearly! Nawasilisha kwenu thinkers na wajenzi wa taifa letu.wkend njema!