Na tusome toka anc

Na tusome toka anc

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,171
Reaction score
3,087
Yama vya siasa tanzania hasa vya upinzan vinapenda kulaumu kwa kutokuweko demokrasia ktk nchi yetu lkn vyenyewe vyaongoza kwa ukosefu wa demokrasia ndan ya vyama vyao angalia mifano hii zito kambwe anaonekana ni msalit na mroho wa madaraka kisa ametangaza nia ya kugombea urais wenye chama chao wamekuja juu na wanataka aondoke!. Cuf pia walimwita pro safari pandikizi kisa kuwania nafas ya uenyekit sambamc na pro lipumba tendo lililo mgharim kuondoka cuf upand wachama tawala cjawah kushuhudia mwenyekt wao kupingwa ktk nafas hiyo. Hebu na tusome toka anc wakat rais na mwenyekit wa anc jacob zuma na naibu wake waligomcnia nafac hiyo bila ya naibu huyo kusukiwa zengwe lolote. Badiliken anzen demokrasia ndan ya majumb yenu vyama nimilk ya wanachama na c mal yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom