Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ungekuwa ndiye Jaji Gabriel Rwakibalila (aliyemvua ubunge G.Lema) ungejisikiaje baada ya hukumu ya Lema ya leo? -umedahlilishwa? -Umeonewa -kawaida tu? -umegeukwa? -umesalitiwa? (namtakia...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Kila ukituma fedha kwa m.pesa unapata sms kukujulisha umezawadiwa 50/-. Hakika voda mnatusumbua
0 Reactions
0 Replies
967 Views
vodacom Tanzania kwa nini mnadanganya wateja..toeni hilo tangazo la ofa ya modem yenye ofa ya 5gd kwa mwezi sababu sio kweli,mimi nimenunua hiyo modem yenu juzi pale mlimani city na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi sasahivi kila nikijaribu kupost thread mpya naletewa ujumbe huu hapo kwenye blue, je nifanyeje? (Your submission could not be processed because the token has expired. Please push the back...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, Nchi imetumia mabilioni ya fedha kufanya zoezi la sensa mapema mwezi Agosti mwaka huu. Kwa sasa zoezi linaloendelea ni kuchambua na kuziweka takwimu pamoja kama zilivyokusanywa. Kwa kile...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
THURSDAY, DECEMBER 20, 2012 DAKTARI wa kitengo cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa Mbeya,Paul Kisabi (32), anayetuhumiwa kwa kupokea rushwa ya sh 100,000 Hapa daktari huyo akiwa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Baada ya mchungaji kuzungumza juu ya somo hili, "Kwa nini mimi namwamini Yesu," mwanaume mmoja kijana, aliyevalia vizuri, alimtembelea katika chumba chake cha kusomea na kusema naye kwa mshangao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu!!!!! Nimefikiri na kutafakari sana na kubaini kwamba mwaka 2015ni mwaka wa CHADEMA kuongoza dola!Nasema hivyo kwa sababu namna ambavyo mambo yanaendelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maeneo ya Ngarenaro kituo cha polisi, kuna kijana anayekadiriwa kuwa na miaka 35 amepata ajali kwa kugongwa na gari ya mizigo. Kijana huyo anasadikiwa kuwa ni mwanachadema kwani alikua amevaa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna tetesi kuwa hali ya Jaji G.Lwakibarila ni tete na alikwishapooza mwili. Je inawezekana ni laana kwa kutaka kukandamiza demokrasia? Je ashauriwe ajiuzulu na awaombe radhi Watanzania?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wamalawi wengi wameanza kuhoji ,Uhusiano wa Joyce Banda, TB Joshua na kifo Cha Rais Mutharika!! Rais Joyce Banda anajiita Muumini wa TB Joshua lakini amekuwa wa Kwanza kuruhusu Ushoga bara...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HADITHI YA BIBI KWA JIRANI Hapo mwanzo katika kijiji kimoja kulikuwa na vijana wenye nguvu na waliopigania nchi yao kuwa huru. Nchi hiyo ilijulikana kwa jina la Kuabudika, na ilikuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Embu 2ambiane ukweli 2one ili 2chague moja 2m2mie LEMA
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Roly la kiwanda cha wazo limepata ajal eneo la tegeta kibaon wakati likitokea kiwandan kwa kgonga fuso na kutumbukia mtaron,hakuna aliyepoteza uhai,wawil wamejeruhiwa,source me mwenyewe.
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Baba yetu JK mwanakioo cha jamii ndugu yetu Small Wangapa anumwa ambapo amepooza mguu. Kwa Taarifa hii tunaomba umsaidie naye kama ulivyomsaidia mwanakioo cha jamii ray c kwani naye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili jengo lina hali mbaya sana. Haya majamaa yanajua kuiba pesa na kununua ma vx tu basi. Pesa si mnazo maruzuku manini. Mnazipeleka wapi? Muombeni hata Lowassa . Mnatushafulia jiji na mjengo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunamwomba meneja TANESCO mkoa kuliangalia hili kwa jicho la undani zaidi, kwani wamiliki wa mashine za kukoboa na kusaga nafaka Makete tunanyanyaswa na uongozi wa TANESCO wilaya. bili tunapewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema ameshinda rufaa yake na amejeshwa na mahakama kuu kuendelea na ubunge wake katika Jimbo la Arusha mjini. Source: Breaking news Mwananchi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ile Hoteli iliyosemekana imefungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira,Dr.Thereza Huvizya,inafanya kazi zake kama kawaida. Hata lunch yangu leo nimepata hapo.Imeshafunguliwa? Au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jiji la arusha limelipuka baada mahakama ya rufaa kumrudishia lema ubunge jiji limelipuka kwa shangwe na nderemo huku wangine wakikimbilia kia na wengine wakikimbilia uwanja wa ndege kisongo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom