Meseji inayosambaa kwa walimu hivi sasa

Meseji inayosambaa kwa walimu hivi sasa

Jolebatawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
549
Reaction score
230
""HAIJAWAHI KUTOKEA!SERIKALI IMEAMUA KUTUMIA MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA KUFANYA SELECTION.
JE, HUKO NI KUTATUA TATIZO AU KUENDELEZA UDHAIFU??JE,UNAWEZA KUTATUA TATIZO KWA KUFICHA UKWELI???WANACHAKACHUA HADI WANAFUNZI WENYE ALAMA 70 WANACHUKULIWA ILI KUINGIA KIDATO CHA KWANZA.BIG UP KWA WALIMU HAKIKA TUKIAMUA TUNAWEZA NA MWAKANI WEMBE NI HUO HUO HADI WATUONGEZEE MSHAHARA.TUMA KWA WALIMU 10.MSHIKAMANO DAIMA!!""mwisho wa kunukuu
My Take::::Bila mjadala wa kitaifa kuhusu mustakabali wa elimu,elimu yetu itayumba na hivyo taifa litaingia kwenye wakati mgumu kimaendeleo.Tuwasikilize hawa walimu kuwakwepa haitatusaidia,wao wana mbinu nyingi za kutukomoa sisi wazazi kama tutawapuuza hawa walimu.
Nawasilisha
 
Mulika hao serikali sikivu na makini ya CCM!
 
Serikali yenu sikivu inalifanyia kazi hilo.
 
mchakato wa upembuzi yakinifu kurasmisha mustakabali wa washika dau wa mitaala unaendelea, big up walimu, mwakani tujitahidi hadi wenye marks 50 nao waende sekondari. aibu yetu aibu ya jk
 
""HAIJAWAHI KUTOKEA!SERIKALI IMEAMUA KUTUMIA MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA KUFANYA SELECTION.
JE, HUKO NI KUTATUA TATIZO AU KUENDELEZA UDHAIFU??JE,UNAWEZA KUTATUA TATIZO KWA KUFICHA UKWELI???WANACHAKACHUA HADI WANAFUNZI WENYE ALAMA 70 WANACHUKULIWA ILI KUINGIA KIDATO CHA KWANZA.BIG UP KWA WALIMU HAKIKA TUKIAMUA TUNAWEZA NA MWAKANI WEMBE NI HUO HUO HADI WATUONGEZEE MSHAHARA.TUMA KWA WALIMU 10.MSHIKAMANO DAIMA!!""mwisho wa kunukuu
My Take::::Bila mjadala wa kitaifa kuhusu mustakabali wa elimu,elimu yetu itayumba na hivyo taifa litaingia kwenye wakati mgumu kimaendeleo.Tuwasikilize hawa walimu kuwakwepa haitatusaidia,wao wana mbinu nyingi za kutukomoa sisi wazazi kama tutawapuuza hawa walimu.
Nawasilisha

hii ni noma,serikali inapeleka taifa hili kusiko
 
mchakato wa upembuzi yakinifu kurasmisha mustakabali wa washika dau wa mitaala unaendelea, big up walimu, mwakani tujitahidi hadi wenye marks 50 nao waende sekondari. aibu yetu aibu ya jk

huku ndo tunakoelekea
 
mi ndo mana walimu nawadharau daily yan ni vilaza kweli,ss hl jambo la sifa!shame on you mwalimu wa tz akili huna
 
hii inaangamiza taifa serikali ichukue hatua za maksudi kutatua matatizo ya walmu
""HAIJAWAHI
KUTOKEA!SERIKALI IMEAMUA KUTUMIA MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA
KUFANYA SELECTION.
JE, HUKO NI KUTATUA TATIZO AU KUENDELEZA UDHAIFU??JE,UNAWEZA KUTATUA
TATIZO KWA KUFICHA UKWELI???WANACHAKACHUA HADI WANAFUNZI WENYE ALAMA 70
WANACHUKULIWA ILI KUINGIA KIDATO CHA KWANZA.BIG UP KWA WALIMU HAKIKA
TUKIAMUA TUNAWEZA NA MWAKANI WEMBE NI HUO HUO HADI WATUONGEZEE
MSHAHARA.TUMA KWA WALIMU 10.MSHIKAMANO DAIMA!!""mwisho wa kunukuu
My Take::::Bila mjadala wa kitaifa kuhusu mustakabali wa elimu,elimu
yetu itayumba na hivyo taifa litaingia kwenye wakati mgumu
kimaendeleo.Tuwasikilize hawa walimu kuwakwepa haitatusaidia,wao wana
mbinu nyingi za kutukomoa sisi wazazi kama tutawapuuza hawa walimu.
Nawasilisha
 
Miaka mitano mingine kwa CCM kutamaanisha kuwa na nchi ya majuha,kizazi cha "chizika" TUMETHUBUTU TUMEWEZA TUNASONGA MBELE!!
 
Katika maisha usidharau kazi ya mtu, ni ngumu kujua ilimgharimu nini hadi kufikia aliko lakini hata alipofikia bado kuna changamoto fulani.Hivyo dharau/kejeli/kutothamini si jambo la busara kabisa.

Sijui kuhusu uhalisia wa taarifa, au ni matokeo ya Mock ya mkoa upi, lakini ikiwa ni kweli itafika kipindi tutawafundisha watoto na wajukuu wetu sisi wenyewe majumbani.

Walimu walipuuzwa, kama kuonyesha "ubabe" katika unyonge wao nao wanaonyesha makucha yao kwa mtindo huu.Ule moyo na motisha kidogo waliyokuwa nayo inakwisha/imekwisha. I understand mtoto mdogo wa darasa la kwanza na darasa la pili akienda shule kama mazoea/routine, kwani walimu watawafundhisha, kuwaelekeza n.k lakini inapokuja katika suala la walimu kufanya jambo kwa mazoea/routine...Jambo hili linapaswa liangaliwe upya.Serikali ikiwasikiliza na kuwajali hata kwa nusu ya mahitaji yao naamini mambo yatabadilika.
 
wana shida gani wenyewe watoto wao wanasoma shule za ada ya mil 10 kwa mwaka wengine wako ulaya, kiatu usichovaa huwezi jua kinabanaje
 
Hakuna kiongozi mwenye mtoto kwenye vishule vyenu hivo vya st kayumba so mwisho wa siku ni kama mnarusha boomerang.
 
Karl max aliwai kusema "workers of the world you have to unite there is nothing to loss but your own chains" swali je walimu wote wanaijua dhana hii au ndo yale ya mukoba na yule mjaluo kupayuka payuka kwenye vyombo vya habari bila vitendo mi naona CWT ivunjwe then waandae katiba yao mpya coz most of top leaders ni magamba na usalama wa taifa kwa kufanya ivo uenda mkapunguza gepu tazameni wenzenu wakenya wamethubutu wameweza na wanasonga mbele, mnakuwa km ludism waliokua wanaaribu mashine wakijua ndo adui wao kumbe hamna AMKENI MBADILIKE HUENDA MKAWASHAWISHI WATU WENGINE KUSOMA EDUCATION NI HAYO TU
 
Back
Top Bottom