Huyu ni JUMA J. Kaponda Afisa Elimu wa Mkoa wa mbeya, kwa wanaomfahamu huyu jamaa ni hopeless, kwa neno jingine jinga la mkoa wa mbeya kwa upande wa elimu.
Kwanza amekuwa ni mbabe mno kwa walimu...
Habari wana JF, na kwa wale waliofurahishwa na maamuzi ya mahakama ya Rufaa jana basi niwaambie peoplezzzzzzzzzzzzz!
Kimsing nayakubali sana mawazo ya watu humu Jamvini, hivyo basi nikaona ni...
Ndugu zangu,
Mwaka 1950 nchi yetu ilikuwa na idadi ya Watanzania wapatao milioni saba. Ni kwa mujibu wa takwimu za kisayansi. Takwimu hizo zinabainisha, ifikapo mwaka 2050, nchi yetu itakuwa na...
AFUNIKA MOSHI,ARUSHA,BARABARA ZAFUNGWA KWA SAA TANO,SHUGHULI ZASIMAMA,ASEMA AMEREJEA KUTETEA HAKI
LEMA, jembeee, jembe limerudi, wamebana wameachia.
Ni baadhi ya maneno yaliyosikika kutoka...
Polisi wahaha wizi wa mil. 150/-
na Shehe Semtawa na Flora Laanyuni
TUHUMA ya askari polisi kukimbia na fuko la fedha zinazokisiwa kufikia sh milioni 150 zilizoibiwa na majambazi...
Kwa muda wa karibu majuma mawili sasa kituo hiki cha Radio kimekuwa kero kwa wasikilizaji wake kwani mitambo imekuwa ikikatika kila baada ya muda mfupi sana na hivyo kuathiri continuity ya...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetakiwa kudhibiti nauli za daladala zinazofanya safari zake katika barabara ya Morogoro.
Inaelezwa kuwa daladala zinazokwenda Kata...
wana JF
Kwa habari nilizopa hivi punde ni kuwa baraza la mazingira Tanzania (NEMC) limeifunga Hotel ya Double Tree ya jijini Dar es salaam kwa kosa la kutiririsha maji ya kinyesi BAHARI YA HINDI...
Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa; Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amefunika Moshi, Arusha Barabara zilifungwa kwa muda wa saa tano, inasemeka kuwa shughuli nyingi...
In May 2000, The Economist magazine declared that Africa was the hopeless continent. Eleven years later, in 2011, it referred to Africa as the hopeful continent. And on October 20, 2012, the...
iv ndugu zangu
polisi wanalipwaga tsh ngapi?
Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo
haangalii kushoto wala kulia.
PESA INA MAJINA MENGI SANA.
kwenye ibada inaitwa SADAKA,
kwenye msiba inaitwa
RAMBIRAMBI, shuleni inaitwa
ada/karo, kwenye vyombo vya
usafiri inaitwa NAULI, ukinunua haki inaitwa RUSHWA...
6:37 AM
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza mwanamuziki wa siku nyingi, Waziri Ally, kundi la wasanii, wakiwemo wanamuziki walipofika Ikulu Dar es Salaam, kumshukuru kwa kuwajali kufuatia...
Natanguliza heshima na salamu kwa wanaJF! Nilikuwa Chunya maeneo ya Matundasi nikakuta kuna Lodge moja mpya ya Kisasa maeneo ya Tumbi. Nilivyohoji nan mmiliki nikaambiwa kajenga kijana moja ambaye...
Naomba mnisaidie wadau, niliuza korosho kwa mfumo wa stabadhi galani tanngu tr 15sept mpaka leo jamaa niliemwachia anasema bado hawajalipwa ! Hali ikoje huko mtwara?
Madaktari Patricia na David Mrazek walikuwa wamelemewa na huzuni kubwa sana katika kazi yao. Kama mabingwa wa magonjwa ya watoto, waliwashughulikia watoto wengi waliokuwa wakiumwa. Lakini...
Kasuku ni ndege Mwenye Manenono sana mdomoni mwake, imepelekea hata binadamu kuwa na mifano ya maneno kwa kuwambia watu.kwa mfano Juma anaongea kama kasuku humuwezi....
Ningependa kujua tafsiri...
Inawezekana kabisa foleni tunayokutana nayo hapa mjini si kwa sababu eti barabara ni nyembamba tu hapana!
Kuna mambo kama vile wasimamia sheria za barabarani (Traffic police) kutojipanga vema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.