TUNTEMEKE, Mbaya wako CHADEMA ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUNTEMEKE, Mbaya wako CHADEMA ni nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SEBM, Aug 6, 2012.

 1. S

  SEBM JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu TUNTEMEKE,

  Sijaangalia historia huko nyuma kuangalia kama kuna mtu aliwahi kuanzisha mjadala unaokuhusu, lakini napenda kuchukua fursa hii kuanzisha mada mahsusi dhidi yako.

  Tangu nijiunge na rasmi JF (ingawa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa forum hii tangu enzi za Jambo), nimekuwa nikisoma maandiko yako mbali mbali.

  Ambacho kimekuwa kikinisikitisha ni aina ya uandishi ambao umekuwa ukiufanya. Kwamba, umekuwa ukiandika kwa hasira, kisasi, chuki na wivu. Ninashawishika kuamini kuwa, kati ya watu hawa, lazima kuna mbaya wako: Dr. Willbrod Slaa, Josephine Mushumbusi, Freeman Mbowe, John Mrema, John Heche na baadhi ya wakurugenzi ndani ya chama.

  Uandishi wako, umejikita katika kuwasemea kwa hasira baadhi ya kundi la watu, ambao aidha wamekuwa wahanga wa kushindwa uchaguzi wa BAVICHA au wale ambao mfumo mpya wa Uhasibu (ambao tumeambiwa ulibuniwa na kuwa installed na Josephine).

  Umevuka mipaka mpaka kwenda kwenye maisha binafsi kabisa na viongozi wa Chama: Slaa na Mbowe na Mrema pia.

  Wakati umefika sasa ukaachana na siasa za chuki, wivu na hasira na kukumbatia siasa za ukweli, upendo na amani.

  Kwa Moderators - forum hii ni credible sana. Nashauri posts za chuki kama hizi, zisiwe zinaachwa zivume mwanzo mwisho kwani zinahataisha amani, umoja na mshikamano.

  Ni bora waandishi kama hawa, wakatupisha huku kwa Great Thinkers na kwenda kule kwenye FB - CHADEMA VS CCM, TANURU LA FIKRA ambako kuna mipasho, utoto, kejeli, udini, ukanda n.k.


  Nabakia,
  Mwanachama Mwaminifu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Well-said bro!! Nadhani the message is being delivered!!
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli lakini ni sawa sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Huyu jamaa ni mwaminifu, pandikizi, na ana maslahi binafsi ya kunufaika kutumika kama chambio la CCM
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Then inabidi tumpotezee kama vp...
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mbona alishawahi kupigwa ban kwa kuwa na id 19! Usishangae kuona post za kumtetea 18 halafu ya kwake 1 tu ya kukukejeli. Huyo ndio Tuntemeke bana!
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tuntemeke ni mchumia tumbo anayedhani anaweza kusambaratisha chama.Nilishamwapia kwamba hilo katu hataweza.Aende kwa mabwana zake wanaomtuma awaambie CDM tuna imani na Dr Slaa & Freeman Mbowe.Apende,asipende hawa ndiyo watatuvusha salama 2015.
   
 7. L

  Lugeye JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 1,080
  Likes Received: 1,379
  Trophy Points: 280
  hilo ni pandikizi la magamba kwani hujui
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Naona kama unapendekeza Tuntemeke apigwe Ban, Sikubaliani na wewe, kama mnataka mpigeni Ban huko huko chadema, kama mnaona anakivuruga chama kwa nini mnamdekeza.

  Kwa muda sasa CHADEMA imeendelea kujipambanua kama chama ambacho kina intelligence systems imara kuliko hata ile ya Kitaifa, CHADEMA mnaweza kujua juu ya mikakati ya kuwatoa uhai viongozi wenu, mnaweza kujua juu ya mitambo ya siri ya kuingilia mawasiliano ya simu iliyoingia nchini, mliweza kujua namna wizi wa kura ulivyokuwa ukiratibiwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Mwaka 2010. Na katibu wenu mkuu, My dear President elect, DR W.P. Slaa amekuwa akiweka wazi mambo mbali mbali nyeti kabisa juu ya namna mambo yanavyokwenda hovyo katika uendeshaji wa nchi yetu chini ya CCM.

  Inakuwaje mmeshindwa kumtambua Tuntemeke na kumsimamisha uanachama. Kama kweli imefikia hatua ya kuona Tuntemeke ni tatizo kwa mustakabali wa chama chenu, ambacho sisi wengine tunakichukulia kama mkombozi inakuwaje intelligence system yenu imeshindwa kumlocate kiasi cha kukimbilia hapa JF kutaka waanze kudhibiti maandiko yake.

  Au wewe mwenyewe ndio Tuntemeke??
   
 9. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  mliweza kujua namna wizi wa kura ulivyokuwa ukiratibiwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Mwaka 201.


  Mkuu umakini ni muhimu
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nina wasiwasi wewe ndiye mwenyewe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  sawa mwalimu
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwanzisha thread Nina Wasi Wasi wewe ndo tuntemeke umeamua ujikoshe
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  R.I.P TUNTEMEKE asipate tabu, alishakufa siku nyingi hata akitokea kama mzuka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  TUNTEMEKE ni PASUA KICHWA, yupo kaanzisha thread nyingine huko ya malalamiko ya wabunge wa CHADEMA, Kuna watu huwa wanabehave kama mintunge vile.
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Majibu atayapata
   
 16. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  TUNTEMEKE karudi tena, huyu jamaa ni mtu hatari sana kwa CDM, anabadilika badilika kama kinyonga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa kama unavuta yale makitu ya malawi au akili yako ndo ilivyo.....

  Yani unafikiri chama kinaendeshwa kwa maneno ya jf... Kwamba akitokea nzi mmoka wa chooni akatua jf, basi chama kitetereke?? Tena mtu mmoja anayeandika kama anamsuta mama Tau jirani yake kwa kuwa jirani anakula nyama na yeye anaumizwa kwa harufu ya minofu ya nyama??

  Mwacheni bi Shose aendelee kupata kitumbua chake, asitegemee ukuu wa wilaya, labda apewe kabla ya 2015.
   
 18. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbaya wa Tuntemeke at al ......ni kiongozi yeyote na mwanachama yeyote wa CDM mwenye mapenzi mema na chama , ila kama huna mapenzi mema na chama wewe sio adui .......(swali kwa Tuntemeke na aka zake zote ) NGO wameshakukabizi ama bado mazee?
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  SEBM

  Vipi kuhusu wale wanaoendekeza politics of character assassination dhidi ya Nape badala ya kufanya politics of issue humu ndani,naona unawasemea nini labda ili tuone kweli uko fair,au hao unawataka waendeleze kazi "nzuri" wanayoifanya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Ndo uzuri wa siasa, unakuja huku kupoteza mawazo. Maana kuanzia uraiani hadi mtandaoni ni fulu kukashifiana tu.
  WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
   
Loading...