Tahadhari: Jihadharini na Tapeli mwenye namba hii...

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,506
Ndugu wana JF

Imenitokea mimi mwenyewe na sasa naombeni niwape tahadhari kuwa kuna tapeli mwenye namba 0714-530869 ambaye anajifanya ni mmoja wa wahariri wakuu wa Gazeti moja na amekuwa akipigia watu mbalimbali simu na kuwaomba fedha huku akijitambulisha kuwa yeye ni Mhariri na hivyo kutaka apewe fedha.

Nimemtahadharisha mhariri ambaye jina lake limekuwa likitumiwa na tapeli huyo na kwa sasa tapeli huyu amekuwa akizima simu na kuwasha mara moja moja sana.

Nawaasa muwe makini sana na mtu huyu na wale wenye access na Customer care ya Tigo tunaomba mtusaidie kumbaini huyu tapeli na kumuanika ili akome tabia yake hii.
 
ungeanza wewe kumuanika live kuwa anajifanya ni mhariri wa gazeti gani
 
Jaribu kumtumia hela kwa njia ya tigo pesa kwa kutaka kutuma hela nyingi kuliko iliyopo kwenye akaunti yako utapata jina lake kama kajisajili kihalali.
 
Hawa watu ni professional mkuu, hawasajiri namba, dawa ni kuhakikisha humtumii pesa mtu usiyemjua, period!:shut-mouth:
 
Huyu siyo Charles Charles kibaraka na nepi kuu kuu ya CCM?
Ndugu wana JF

Imenitokea mimi mwenyewe na sasa naombeni niwape tahadhari kuwa kuna tapeli mwenye namba 0714-530869 ambaye anajifanya ni mmoja wa wahariri wakuu wa Gazeti moja na amekuwa akipigia watu mbalimbali simu na kuwaomba fedha huku akijitambulisha kuwa yeye ni Mhariri na hivyo kutaka apewe fedha.

Nimemtahadharisha mhariri ambaye jina lake limekuwa likitumiwa na tapeli huyo na kwa sasa tapeli huyu amekuwa akizima simu na kuwasha mara moja moja sana.

Nawaasa muwe makini sana na mtu huyu na wale wenye access na Customer care ya Tigo tunaomba mtusaidie kumbaini huyu tapeli na kumuanika ili akome tabia yake hii.
 
Hawa watu ni professional mkuu, hawasajiri namba, dawa ni kuhakikisha humtumii pesa mtu usiyemjua, period!:shut-mouth:

Nilijaribu kumvuta taratibu ili walau nijue jina lake lakini akastuka kuwa nimemstukia akazima simu. Hata hivyo nilihisi huenda hajasajili namba ndio maana anapata ushujaa huu bila woga
 
Jaribu kumtumia hela kwa njia ya tigo pesa kwa kutaka kutuma hela nyingi kuliko iliyopo kwenye akaunti yako utapata jina lake kama kajisajili kihalali.

Mkuu inaweza ku-work hii?
 
ndugu zangu, huyu jamaa tapeli ameshatutapeli elfu 30. Anachokifanya ni kuchukua kila gazeti na kutest namba zilizopo na kuwatumia msg kuwa amepata matatizo akijieleza kama mmoja wa namba zilizopo kwenye gazeti. Binafsi nimempigia akapokea simu, nikamuambia namtafuta, mwishowe ananiomba msamaha anasema njaa ndio inayomsumbua. Huu ndio ujinga wa huyo jamaa. Naendelea kumshughukia, nimpate.
 
Lasikoki pole sana
Ni namba hii hii iliyowatapeli au? Mie nilistuka mapema sana kabla sijamtumia.
Asante unisaidie kuwatahadharisha wenzetu wasiingie mkenge
 
Last edited by a moderator:
Nshaiskia hii namba

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
so unamtumia mtu pesa simple like that coz tu eti ni muhariri wa nipashe???acheni ushamba bana.......mnaibiwa kutokana na ulimbukeni wenu(wajinga ndio waliwao)
 
Wazee komeni kwani mi nampongeza huyo bwana, natena nashauri atumie namba zingine kuwaibia, hivi ni nani aliyewaroga nyie watanzania wenzangu? napia lazma mnapenda mteremko, kama ni mhariri kweli ndo mnampa hela ili iweje? habari yenu hata kama ina uovu itoke? nyie sio ndio mnapaswa kulipwa kulikoni nyie kulipa?
hivi rushwa ni lini huko homu kwangu itaisha? ningekuwa mi ndio kijana wa Hosea, nyie wote mliolizwa ningeanza na ninyi, hebu jitahidini kupitia usawa na haki, someni na muwe wabunifu, leo hii hiyo nchi yetu imeyumba na kuoza tokana na mirushwa, nanyi mnaendekeza hadi kufikia hatua ya kulalamika kudhulumiwa rushwa, kweli nyumbani huko kumechafuka na kunanuka, napia mna uelewa mdogo hakuna maelezo ya mkato mtu akakupa hadi ukafikia hatua ya kutuma hela hasa nyakati hizi za utapeli, nyie ni wazembe,
NARUDIA TENA KOMENI! na msituhusishe na madhambi yenu ya rushwa hapa, nyie ndio waajiri wa mhariri? komeni!!!!!!!!

"UKWELI NMESHAUSEMA HATA UKINUNA ILA LIMEKUPATA,NA JIPU TAYARI LIMEKWISHA PASUKA"
 
Asante mkuu nimekoma
 
Back
Top Bottom