Shukruni kwa wana JF wote

Shukruni kwa wana JF wote

obi's

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
233
Reaction score
40
ndg zangu wana jf, kwanza napenda nimshukuru mwenyezi mungu baba, alieziumba mbingu na nchi, na vyote vilivyomo, kwanza kwa kunipa uhai mpaka hivi navyoandika walaka huu, hakika mungu ni mwema. Ama baada ya shukrani hizo, Amani iwe nanyi!.

Jamani tangu nijiunge na jf, leo ni mwaka ama zaidi, nimelipenda sana jukwaa hili, kwani nime elimika, nimejifunza, nimehabarika, nimeburudika, na zaidi ya yote nimepata kampani kubwa. Hakika jf, ni zaidi ya mitandao yoote ya kijamii tanzania. Kabla ya kuumaliza mwaka huu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa majukwaa haya:

1 JUKWAA LA SIASA, 2. HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, 3 JF DOCTOR, 4 MAHUSUSIANO,MAPENZI, URAFIKI, NK.

Nawashukuru sana wote waliopoteza mda wao kuandika na kuelimisha mambo mbalimbali kwenye majukwaa niliyoyataja hapo, asanteni kwakutokuwa na uchoyo, ubinafsi, sina uwezo wa kuwataja kila mmoja, ila nawaombe 2.

Hizo ndiyo shukrani zangu.
 
Pamoja sana obis jamii forum ndo kila kitu kwetu mungu ibariki jf mungu wabariki wana jamvi.
 
Hawajapoteza muda., wameutumia. Hongera nawe kwa kuwa sehemu ya le grande familia.
 
Mkuu Obi's, tunamshukuru Mungu kwa kila kitu, tumwombe aendelee kutulinda. Nawe tunakushukuru kwa shukrani zako kwa .wana jf wote.
 
Tuwaombee kina mike wasirushiwe vitu vyenye ncha kali tu!
 
Mkuu Obi's, tunamshukuru Mungu kwa kila kitu, tumwombe aendelee kutulinda. Nawe tunakushukuru kwa shukrani zako kwa .wana jf wote.

asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom