Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Closed
Si siri kuwa CHADEMA inauhusiano wa karibu au ni mwanachama wa Christian Democratic Parties duniani. Kuhudhuria kwa mwenyekiti wa BAVICHA katika mkutano wa CDU kule Ujerumani ni moja ya...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Nimeona nissan mach ya mwaka 97 yenye cc 990,nataka kununua kwa ajili ya usafiri wa kwenda kzn 2,naomba kujua uimara wake,na garama za cfi. Bei ya kununua ni usd 900. Je tra watabeba sh ngapi?,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ferry inayofanya kazi ni moja.Magari na Abiria waliopo hapa nadhani labdha kama ferry itafanya kazi usiku kucha angalau inaweza saidia.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana saa nane mchana nilipigiwa simu na mtu ambaye amejitambulisha kuwa ni omary yupo ikwiriri kwenye mradi wa kilimo kwanza nakuniambia kuwa ananifahamu kwakunitajia majina yangu vizuri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili kuwa kati ya saa 6 na 7 usiku,wakati wakitokea kwenye matumizi wakiwa ndani ya gari kulikua na mabishano ndipo alipo msukuma na kudondoka chini na yeye kuondoka zake. Bahati alitoke msamaria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumezuka majambazi wanaovamia hostel za wanafunzi na nyumba za watu, wanatembea wengi wakiwa na mapanga na wanavunja milango wakiiba valuable items kama laptop simu na hela polisi mko wapi muokoe...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Bonyeza Vidio VIDEO- KIKAO JESHI LA POLISI NA VIONGOZI WA UAMSHO KWA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR | Mzalendo.netWritten by Zanzibar Moja // 24/12/2012 // Habari, Vidio // No comments...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WadauPoleni kwa maandalizi ya sikukuu za mwaka mpya na krismasi Natafuta kampuni ambayo inashughurisha na mambo ya wood crafting,kwani kuna mashindano tunategemea yafanyike Tanzania mwezi 3 tarehe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii mila imekaaje? Naona nchi nyingi sana za West Africa na hata katikati ya Africa wanayo sana. Mtu akifa huwekwa kwenye jeneza kisha jeneza huzungushwa mitaani huku vijana wakiwa wamelibeba na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Napenda kutumia nafasi hii kuwatakia kheri ya krismasi na mwaka mpya 2013! Mungu awaongezee ufahamu wa kutosha wa kufafanua mambo!
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hekaheka kati ya Trafiki na dereva wa basi wakichapana makonde baada ya dereva wa basi hilo kutaka kufunga gurudumu ambalo Trafiki huyo aliikataa kwa madai ni chakavu. Dereva alipoamua kufunga...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Taarifa kutoka mwanzani ni kuwa Mwandishi wa Habari wa ITV Bw Cosmas Makongo khali yake kiafya si nzuri kwa sasa kwani Vipimo vya hospitali ya Rufaaya Bugando havioneshi ugonjwa wowote...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
kwa wale wenye kuielewa Bible nisaidi ufafanuzi wengine wanatwambia ni wandishi wamekosea wengine wanatwambia ni amri tumepewa sasa baadhi yetu tumechanganyikiwa hapa tusaidiane .... Deuteronomy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Basi limedondoka Mboga nje kidogo ya Chalinze. Hakuna aliyefariki ila wapo majeruhi. Basi lilikuwa linatokea Pangani Tanga kwenda Dar es Salaam
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Wanajf, Sote tunakumbuka Sakata la kesi la ubunge Arusha mjini jinsi taarifa zilizokuwa Zimezagaa kuhusu kuparalaizi kwa jaji aliyetoa hukumu hiyo, kwa sasa imechukua sura mpya baada ya Miongoni...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Mheshimiwa mbunge LEMA, ushindi wako ni zawadi ya wengi ya krismas na mwaka mpya. Hongera kwako, kwa wana CHADEMA ARUSHA na kwa wapenda haki wote nchini Tanzania. Napenda kutoa ushauri wangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama kuna mtu mwenye fununu za matokeo ya sensa ya kitaifa 2012 nayangoja kwa hamu na kusikitika pamoja na TEHAMA yote hii yamechelewa sana
1 Reactions
27 Replies
3K Views
:: Kila nikikutazama Najawa na faraja Yule aliyekuanzisha Alijawa hekima Akakuweka hapa Ee jamiiforum Kila la kheri 2013 :: Umenifanya nijivunie Umenifanya nifikirie Hukuniacha nizubae...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari zinazohusiana na uchakachuaji wa mafuta ya vyombo vya moto zimekuwa zikionekana mara kwa mara katika vyombo mbali mbali vya habari. Habari hizi zinakera kwani tuna vyombo au taasisi ambazo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wednesday, November 7, 2012 "KWAHERI" "KARIBU" JIJI LA ARUSHA Mchanganuo Wa Gharama Za Uzinduzi Wa Jiji La Arusha MCHANGANUAO WA GHARAMA ZA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA!! 1.Kikundi...
0 Reactions
30 Replies
14K Views
Back
Top Bottom