jihadharini na samaki wabichi........

jihadharini na samaki wabichi........

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
wabongo wameingiwa na roho ya ukatili sana!. wanatumia formalin (kemikali ambayo hutumika kuhifadhia maiti zisioze) ili kuhifadhi samaki zisioze!. kemikali hii ni hatari sana hata kwenye label yake imewekwa alama ya toxic/ fuvu na mifupa. kwa hiyo angalia sana unakonunua samaki na ukisuspect harufu isiyo ya kawaida it is better usiwatumie hao samaki. in addition karibuni tunywe fortified sweet wine (dompo)
 
Yap mkuu hii kitu nimewhi kuisikia kipindi fulani kama mwaka mmoja uliopita kuwa kule kanda ya ziwa hasa mwanza na musoma watu wanahifadhi samaki kwa kutumia dawa za maiti ili wasioze nikachukulia kama porojo...Ila nimekuwa nikisikia sikia sana haya mambo hapa Daslam kitu kinachonifanya nianze kuamini kuwa yawezekana kukawa na ukweli ndani yake.......
 
i cant imagine how this can be possible... formalin has a very pungent smell. should it be in contant with fish... who would be able to take up the fish?
 
i cant imagine how this can be possible... formalin has a very pungent smell. should it be in contant with fish... who would be able to take up the fish?
kibongobongo ni very few people will tell you ''this is the smell of formalin''. and these guys tends to dilute it to below 10% which is used for dead bodies. kitu ambacho inafanya iwe ngumu kwa mtu ambaye haijui harufu ya formalin kuidetect. pengine pungency unayoisema ni ya 37% ambayo ndiyo formalin inavyotoka kiwandani
 
Makubwa MUNGU ATULINDE JAMAN NI NYAKATI ZA MWISHO MENGI YATATOKEA ZAIDI.
 
Yap mkuu hii kitu nimewhi kuisikia kipindi fulani kama mwaka mmoja uliopita kuwa kule kanda ya ziwa hasa mwanza na musoma watu wanahifadhi samaki kwa kutumia dawa za maiti ili wasioze nikachukulia kama porojo...Ila nimekuwa nikisikia sikia sana haya mambo hapa Daslam kitu kinachonifanya nianze kuamini kuwa yawezekana kukawa na ukweli ndani yake.......

Mkuu acha Uongo, Kwa Kanda ya Ziwa hakuna samaki wanao uzwa kwenye majokofu, Kule watu hula Freshi waliovuliwa siku hiyo hiyo, na ukienda hata Mwanza, Musoma huwezi kuta Samaki wanauzwa wakiwa kwenye Fridge, hayo ya kutumia dawa yako Dar, na my b Arusha

Mi nakula samaki aliyevuliwa leo si vinginevyo.Mwanza ni raha tupu shida ni huko Dar!
 
Nilitembelea mwanza na musoma hivi karibuni, na nikiwa musoma mtu mmoja aliniambia 'dar mara nyingi mnakula samaki waliovuliwa kwa sumu, ila hamjui, na wavuvi hawa wanajulikana ila polisi haifanyi chochote hata wakikamatwa' na kweli nilishudia samaki wanaovuliwa kwa sumu wakiuzwa kuletwa dar, mara nyingi anapotoka majini matezi huwa kama meupe tofauti na wengine, na kwa kuwa dar tunanunua wakiwa kwenye barafu, ngumu kutofutisha. Na umeme huu wa mgawo, huenda wanatumia kweli fomalin, bongo kila kitu kinawezekana.
 
Back
Top Bottom