Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Wanamgambo wa taliban wamewaua wanajesh kumi wa marekan katika mkoa wa Nangarhar huko afghanstan,wanajesh hao walikuwa kwenye msafara ndipo walipovamiwa na kuanza kutupiana risasi kwa takriban saa 1,
pia inasadikiwa kuna raia waliouawa kwenye shambulizi hilo
sosi;swahili radio-tehran
pia inasadikiwa kuna raia waliouawa kwenye shambulizi hilo
sosi;swahili radio-tehran