Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Basi la supper Najmunisa lililokuwa likitokea Dar kwenda mwanza limenusurika kupata ajali mbaya km 10 kutoka mji wa morogoro baada ya kuacha njia lilipokuwa linakwepa lori lililokuwa linatokea...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mala nyingi majina ya miji au mitaa uitwa majina ya watu mashuhuri wa kitaifa au kimataifa, ua kutokana na matukio yliyokuwa yanatokea sehemu husika. Naomba mwenye kujua jina Kariakoo lilitokana...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Nimepigiwa simu muda huu kuwa,kuna mtu alitaka kudandia tren stand ya kamata kariakoo, Inasemekana alikosea kuirukia na kujibamiza kwenye vyuma. Walio karibu watujuze
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mnavikumbuka vita vilivyopiganwa mwanzoni mwa miaka ya tisini? Nan mwenye dukuduku lolote kuhusu chanzo cha mapigano hayo? Binafsi nlikua mdogo sana ila ninakumbuka watu walikua wabakimbia...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Serikali imesisitiza kwamba zoezi la kuzifungia hoteli na viwanda vinavyotitirisha uchafu baharini ni endelevu na halitakuwa na kikomo kwa mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa kupitia kwa Waziri wa...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
04 JANUARY 2013 Na Rehema Mohamed ALIYEKUWA Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Makumbusho, Dar es Salaam, Bw. Christopher Mutayoba, jana alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
R.I.P Jackline Musa Matiko (kuzaliwa 2/8/1998-kuf. 1/1/2013)' Mwanafunzi aliyekuwa anasoma shule ya Sekondari Juhudi ilioko Ukonga, Dar es Salaam. Siku ya Mwaka Mpya aliondoka na ndugu wa upande...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Msaada wakuu mimi ni mt mwenzenu nina vijisenti huko huko uswisi nataka kuvitoa kabla ya zoezi la kukamata nifanye nini wana jamii?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
KUTOKANA NA WARAKA ALIOTOA MCHUNGAJI MTIKILA KUHUSU WANYARWANDA WATANZANIA HALISI NAOMBA TUIELEZE UKWELI SERIKALI YETU HATARI YA HAWA JAMAA KUWEPO NDANI YA SYTEM YA UENDESHAJI WA NCHI NA WALE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salamu wanaJF. Juma la mwisho la mwaka 2012 nilibahatika kupita barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami Kutoka Dodoma kwenda Iringa. Niliweza kupiga picha baadhi ya vipande vya barabara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu? Kuna taarifa nimepata kuwa simu zile (za bei rahisi) toka China zimeanza kuzimwa (kupoteza network) hivi ni kweli taarifa hizi? Maana kuna baadhi ya watu walio na hizo simu leo...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Hili ni eneo la Vingunguti, katikati ya makazi ya watu ambapo barabara hii inayounganisha Barabara ya kutokea Tabata - Segerea na ile ya Mwalimu Nyerere (Kwenye mataa ya vingunguti). Manispaa ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwimbaji wa kwaya,nahitaji chama kitakachokuwa na uhitaji tutengeneze project ya bendi na kutengeneza nyimbo za hamasa . Chama kitagharimua vifaa na gharama,sisi kutunga vibao na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu.naelezea masikitiko yangu kwa hii barabara ya PAMBA hapa mwanza na wewe kama ni mkaazi wa hili jiji utakubaliana nami kile kipande mbele ya kituo cha polisi mwanza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
HERI YA MWAKA MPYA BAADA YA SALAAM ! KUANZIA LEO SISI WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA WILAYA,MIJI,MANISPAA NA MAJIJI TANZANIA TUNAPENDA KUWATAARIFU WAKURUGENZI WOTE NCHINI BAADA YA KILIO CHA MUDA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu kmsng namjua vlvyo kwan nmesoma nae A-level to Univesity jamaa mda mwing sana anakuwa serious na mambo yake yaan hana tym ya kupga domo,haibi cha mtu,hatukani mtu,hali cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mvua zilizonyesha mfululizo siku mbili usiku wa kuamkia tarehe 3 na 4/1/2013 zimeleta maafa Mtwara mjini eneo la KIYANGU
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo mchana nilikuwa katika mji ya rujewa,wilaya ya mbarari kuna ajali imetokea gari la polisi limemgonga mtu mmoja ambaye ni mtumishi wa hospitali ya wilaya hapo rujewa,aliyegongwa alikuwa nje ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Amini usiamini.... baada ya hiyo mitambo ya analogia kuzimwa na kuingia digitali hali iliyofanya Televisheni kutoonekana bila king'amuzi.... asilimia kubwa ya watanzania bado hawajaweza kumudu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kamanda Polisi Temeke ataka wauza madawa ya kulevya wafichuliwe.. Source: Nipashe. Huu ni Utani mwingine kwani Polisi wanawajua hawa wauza madawa karibu wote, lakini wanapatwa na kigugumizi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom