Ajali: Super Najimnisa (Dar - Mwanza)

Ajali: Super Najimnisa (Dar - Mwanza)

Joseph Isaack

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
450
Reaction score
89
Basi la supper Najmunisa lililokuwa likitokea Dar kwenda mwanza limenusurika kupata ajali mbaya km 10 kutoka mji wa morogoro baada ya kuacha njia lilipokuwa linakwepa lori lililokuwa linatokea mbele yake. Source : mimi mwenyewe.
 
limenusurika kupata ajali,kwa iyo sio hakuna ajali.
 
Basi la supper Najmunisa lililokuwa likitokea Dar kwenda mwanza limenusurika kupata ajali mbaya km 10 kutoka mji wa morogoro baada ya kuacha njia lilipokuwa linakwepa lori lililokuwa linatokea mbele yake. Source : mimi mwenyewe.
limenusurika kupata ajali,kwa iyo hakuna ajali.
 
Kwa hiyo lipo salama na hakuna majeruhi?
 
Toa maelezo yanayojitosheleza

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
duu ajali maelezo hakuna ajali..

kweli hii ni 2013
 
Back
Top Bottom