Maendeleo ya Ujenzi wa barabara ya lami Dodoma - Iringa

Maendeleo ya Ujenzi wa barabara ya lami Dodoma - Iringa

Mwalimu Rabbi

Senior Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
111
Reaction score
44
Salamu wanaJF. Juma la mwisho la mwaka 2012 nilibahatika kupita barabara inayojengwa kwa kiwango cha lami Kutoka Dodoma kwenda Iringa. Niliweza kupiga picha baadhi ya vipande vya barabara hiyo katika maeneo ya Mpunguzi, Mlowa barabarani na Mloda. Nakaribisha maoni huru katika mradi huu.
 

Attachments

  • Photo-0751.jpg
    Photo-0751.jpg
    66.3 KB · Views: 105
  • Photo-0761.jpg
    Photo-0761.jpg
    69.8 KB · Views: 107
  • Photo-0763.jpg
    Photo-0763.jpg
    67.8 KB · Views: 94
  • Photo-0769.jpg
    Photo-0769.jpg
    59 KB · Views: 88
  • Photo-0796.jpg
    Photo-0796.jpg
    81.5 KB · Views: 88
Back
Top Bottom