WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza jana alishikwa na butwaa, pale alipopewa taarifa ya kuuzwa ndege tatu za Serikali, ambazo zilikuwa katika Kituo cha Kilimo Anga...
Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la wafanyakazi kutoka katika mgodi wa dhahabu wa Bulynhulu uliopo katika wilaya ya Kahama mkoani shinyanga kuacha kazi kutokana na kuwa na wasiwasi wa kufutwa...
ASKARI walioshiriki katika operesheni ya kusambaratisha mkutano wa Chadema mkoani Iringa na kusababisha kifo cha mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel Ten, Daud Mwangosi, wanalalamika kwamba...
Nataka nijue tu maana jana nilimsikia mtu mmoja akisema kwamba neno SIR ni rank ya juu kwa maFreemasons!
Akasema mfano Sir Alex Fergason, Sir Andy Chande etc.....
Kwa yeyote ambaye ana ratiba ya safari za nje ya Nchi za Mh Raisi atuwekee humu kwa JF. Ningependa kuona mwaka huu wa 2013 anaanzia wapi na kumalizia wapi.....ili tujue pia ni Nchi gani zitatupa...
Mi naona kama huna dhamira ya dhati kisiasa (usifanye siasa sehemu ya kuganga njaa) ni bora ukakaa pembeni uwaachie wenzako wenye dhamira ya dhati. Matokeo ya watu wanaoingia kwenye siasa kwa...
Wapendwa vijana wa mti safi Juzi tarehe 04 Jan 2013 huku Duluti Arumeru ndio alilazwa sehemu yake ya milele Mwl wetu Mbise Aka Mkuda Kwa heshima na taadhima tunamuombea huko alipo Mungu amrehemu...
Mimi ni mwajiriwa katika ofisi moja hapa jijini dar, juzi ijumaa tarehe 4 Jan 2013. Mimi na wenzangu tulienda ofisi za NIDA kwa ajili kupiga picha za kuweka kwenye vitambulisho vya uraia...
wana ukoo .mara baada ya kusikia kilio kikubwa kwa jirani nilitoka nje kutazama kunann nilipatwa na mshituko kumuona mwanaume mwenzangu akiwa ameunguzwa kwa mafuta ya kupikia vibaya na mkewe wa...
Blog ya IKULU inayo endeshwa na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu, haina hadhi ya kuwa blog ya ikulu na ni aibu kwa ikulu na taifa kwa ujumla.
Blog hy ya first office ina background color ya...
Wadau
suala hili limeanza kama hoja za kisiasa au wanaharakati lakini limefikia hatua ya wananchi kuandamana na pia viongozi mbalimbali hususani wanasiasa kuanza malumbano kila mmoja akivutia...
Happy New Year JF family.
I need assistance from any body who knows what medication can be used to help treat an 'intractable' dry cough that has resisted, cough syrups (even those with codeine)...
Mzalendo net reports that a costly setting out blunder has stalled Zanzibar Airport construction. Apparently passenger terminal has been constructed on area meant for eroplane packing bay...
Siku zote napata huduma ya intaneti nikitumia Tecno T1 kwa daily rate ya 450/- ya Airtel kwa kutuma neno SIKU kwenda 15444. Leo nikaona nijaribu kifurushi cha wiki. Nikacheki salio kwanza kabla...
Kwa vile sasa hivi kila watu wameanza kudai rasilimali zilipo kwenye eneo lao na sisi wana Mara tunataka dhahabu yetu ili tuwe wa kwanza kunufaika nayo kwanza.
Nimekua nikifuatilia issue ya ving,amuzi zanzibar haitajwi, hata kama si issue ya muungano kama nikitu kizuri kwanini na ndugu zetu wasifaidi KIZURI KULA NA NDUGUYO.
Dada Regia Estelatus Mtema, Mbunge wa Viti Maalumu, Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA ni mmoja wa wanasiasa vijana waliokuwa wanafundwa kuchukua majukumu zaidi ya...
Biashara ya Mikate ya Boflo Zanzibar yadoda baada ya kupanda kwa bei
Wakazi wengi wa Visiwani Zanzibar wanapenda sana kutumia mikate ya Boflo kama ni chakula cha asubuhi,kutokana na kupanda bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.