Nina vijisent uswisi nifanyeje kuvitoa

Nina vijisent uswisi nifanyeje kuvitoa

rugumye

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
561
Reaction score
179
Msaada wakuu mimi ni mt mwenzenu nina vijisenti huko huko uswisi nataka kuvitoa kabla ya zoezi la kukamata nifanye nini wana jamii?
 
Msaada wakuu mimi ni mt mwenzenu nina vijisenti huko huko uswisi nataka kuvitoa kabla ya zoezi la kukamata nifanye nini wana jamii?

Kama ulipata kwa njia halali hakuna tatizo.
 
Tumia njia uliyoitumia wakati unavipeleka huko. "P"!
 
hapo inabid ivisamehe tu mkuu, ukienda tu kuvigusa sie tunakunasa,

tushaweka mitego yetu na tumegundua mmetumia majina feki
 
Msaada wakuu mimi ni mt mwenzenu nina vijisenti huko huko uswisi nataka kuvitoa kabla ya zoezi la kukamata nifanye nini wana jamii?

Peleka container la viroba ujaze umo kisha ulete kupitia bandarini.
 
Wasiliana na mkurugenzi wa PCCB au DCI watakusaidia njia salama za kuzitoa hizo hela
 
Msaada wakuu mimi ni mt mwenzenu nina vijisenti huko huko uswisi nataka kuvitoa kabla ya zoezi la kukamata nifanye nini wana jamii?
Nunua sumaku ukakae pale Salander bridge Kama ulivyozaliwa saa mbili asubuhi utafanikiwa kuzivuta kutoka huko Uswizi. Au unaweza kuwasiliana na Prof. Deep Water ( Maji Marefu ) for further assistance. Good luck 😛op2:
 
Nitaku-PM nikupe akaunti namba yangu uniingizie japo nusu ya hizo!!!
 
Back
Top Bottom