Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

One of the myths of aging is that intelligence diminishes with age. Early studies that used intelligence tests designed for children revealed that older people scored lower than young adults...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Habari nilizopokea hivi punde kuwa mtwara kuna mafuriko plz any observer amwage habari hapa tafadhari
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NCHI IKO MATATANI,NCHI IKO MASHAKANI,, Yeye hujidai maarufu,mzuri hapa mjini kumbe anajikashifu,hata aibu haoni,nchi hii inaangamia, Mfumuko wa bei unazid kushika kasi na kupamba moto,unga bei...
12 Reactions
60 Replies
5K Views
Kuna route ambayo bado kurasmishwa ya kutoka Mbezi stand mpya hadi Mpiji Magoye. Ni mwendo wa kama km 8 au 9 ( dakika kama 15 ). Barabara sio lami lakini ni nzuri hata kama gari yako ni mpya. Ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani mwenye taarifa nasikia Sumry ya Kigoma imepata ajali mida hii maeneo ya Nzega eti imetumbukia kwenye korngo/mto, habari imekatika sijapata vema. Mwenye taarifa please
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jioni hii hakuna serikali brbrn kwa hiyo magari hayatembei. sema unachokiona kwenye eneo lako.
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Siku chache baada ya Malaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutoa tahadhari ya kuwapo mvua na upepo ikiutaja mkoa wa Morogoro kuwa miongoni mwa maeneo hatarishi, tayari mvua hizo zimesababisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani sikutaka swali langu liwe siri. Nimeona nijuzwe hata na wanajamvi nini kilimsibu Rais wetu anayependa kugaramia matibu ya emegence ya watendaji wake na hata waandishi na wasanii kwenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa,inawezekana hapa sio jukwaa sahihi lakini napost huku kwa kuwa wasomaji ni wengi. Juzi nilituma sh 500 via 0757400600 kwa m-pesa ili nisome gazeti la globalpublishers online...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema(CHADEMA),amewalipua polisi mkoani hapa kwa kufichua mpango wao wa kimafya wa kutaka kumwekea madawa ya kulevya au silaha aina ya SMG ndani ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nime meambiwa na mzee mmoja mmishenary wa kiafrika kuwa wakoloni hasa wa german walificha chini ya ardh hasa chin ym mito isiyo kauka kitu kinacho julikana kama [tunu] yaan ni mzigo mkubwa wenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habali za wanajf,kwa wale wakazi...kigamboni mtakuwa ambao mna tabia ya kutembembea....mtakuwa mnalifahamu eneo flani ambalo tuu ukishuka....kwenye pantoni....ukiingia kigamboni....ukiulizia tuu...
0 Reactions
16 Replies
19K Views
13hBig Head ‏@RealJonpius 1gb mwaka mzima "@bootyferrari360: Damn 63min for a 5MB App? Lol kweli #VodacomTanzaniaSucks" Followed by Solo Thang(Ulamaa) and 6 others Expand 13hGracie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Usiku wa kiamkia leo, kuna mteja wa Holliday Inn alisumbuliwa sana na watu waliokuwa na sura ya ama Uhindi au Uarabu, ilikuwa kama saa sita usiku, huyo mteja alifika usiku huu kwa ndege ya KLM...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Hebu wadau kwa wale wanaoweza, jaribu kubofya hii link na tuone kama tutangeneza vijisenti. NB:Link hii ni kwa wale wanaopenda kujaribu tu. IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Vita dhidi ya ugaidi sasa vimegeuzwa na kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya maafisa wa polisi. Wakaazi wa mtaa wa Eastleigh wanadai kwamba wanapokamatwa katika misako ya polisi wao hulazimika kutoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu, Eti kwa mwenye uzoefu, ni mtandao gani (website) unauza magari kwa bei nafuui? Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Joshua Waiganjo huyu ni Raia kenya,aliefanya kazi kama afisa mwandamizi wa police kwa miaka huku akiudhuria vikao vya kamati za ulinzi. Rais Mwaibaki anatarajia kuunda tume kufanya uchunguzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1...
6 Reactions
119 Replies
11K Views
Wadau mnaokaa Tegeta na viunga vya jirani, hii habari nimekutana nao FB nikaona ni share na nanyi. Kwani ukiona mwenzio ananyolewa,,...!! KIBO COMPLEX -Tegeta!! Wadau kiota hiki kimeingiliwa na...
1 Reactions
20 Replies
11K Views
Back
Top Bottom