Nataka chama cha siasa tuanzishe bendi

Nataka chama cha siasa tuanzishe bendi

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Mimi ni kijana mwimbaji wa kwaya,nahitaji chama kitakachokuwa na uhitaji tutengeneze project ya bendi na kutengeneza nyimbo za hamasa . Chama kitagharimua vifaa na gharama,sisi kutunga vibao na kurekodi watu wa kuimba wapo wengi.

Chama kitakachohitaji kije private tuwasiliane na kuweka makubaliano na ni vizuri kwa chama kitakachohitaji project hii isimamiwe na jumuhiya ya vijana ya chama hicho. Na chama hicho ndo kitakuwa changu.

In short, Mimi ni kijana elimu ni shahada ya uzamili
 
Kwa nini usiende kwenye ofisi ya chama unachokipenda ukatoe wazo lako?
 
Stupid idea! Mpaka chama kikupe kazi ya kukiimbia ndio kiwe chako?

Kama we unataka kuwa mfuasi wa chama unachokipenda jiunge nacho kwanza, from there peleka idea kufanya uhamasishaji kupitia hizo nyimbo

Mawazo yako hayaendani na mhitimu wa shahada
 
Back
Top Bottom