Ajali yatokea huko Lujewa

Ajali yatokea huko Lujewa

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Leo mchana nilikuwa katika mji ya rujewa,wilaya ya mbarari kuna ajali imetokea gari la polisi limemgonga mtu mmoja ambaye ni mtumishi wa hospitali ya wilaya hapo rujewa,aliyegongwa alikuwa nje ya duka lake lililo kando ya barabara,gari la polisi liliacha njia na kumgonga huyo jamaa.huyo jamaa amejeruhiwa na amepelekwa hospitali ya rufaa mbeya kwa matibabu zaidi.
 
Pole yake,,appears to be normal accident, hii kujenga nyumba/frame karibu kabisa na barabara basi tu,,maadhira yake makubwa sana
 
Hatari! Vp trafiki atakayepima atacomment vp chanzo cha ajali?
 
Polen wanarujewa kwa ajili hiyo Mungu na amponye aludi kwenye haliyake.
 
Poleni sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom