Baada ya vita kuu ya dunia ya 2 Askari wa ki afrika waliorudi kutoka vitani waligawia Hilo eneo na pakaitwa carrier cops. Waswahili wakawa wanatamka kariakoo.
Cops si ndo askari Mkuu?Thanks mkuu. Nilisikia ni carrier cops ila hilo la askari sikuwa nimelijua.
Cops si ndo askari Mkuu?
Carrier Cops maana yake ni Askari wasafirisha mizigo vitani(kwasasa watu wa mfano wao huitwa wabeba box)Loh Kiingereza kigumu mwe hebu weka kabisa na maana ya carier ili apate maana zaidi.
Ilikuwa ni enzi ya mkoloni ambapo ilikuwa kama mtu kazembea kazi mnyampara anaamuriwa amkalie koo na kumpa kipigo..! Kalia koo, kalia koo..! Wabongo wakapabatiza kariakoo..!
Ilikuwa ni enzi ya mkoloni ambapo ilikuwa kama mtu kazembea kazi mnyampara anaamuriwa amkalie koo na kumpa kipigo..! Kalia koo, kalia koo..! Wabongo wakapabatiza kariakoo..!
Thanks mkuu. Nilisikia ni carrier cops ila hilo la askari sikuwa nimelijua.
Mi naona huyu wa carrier cops analeta maana.