Hivi ni nani alitoa ruhusa kwa waislam kuwa wajinjaji wa nyama zote hapa nchini kwetu? Nauliza hii maana kuna mchungaji kachinja na sasa yupo mahabusu.
Sheria zinasemaje kwenye hili.
SATURDAY, JANUARY 5, 2013
Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo akikata utepe kuzindua na kufungua ofisi ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya eneo la isanga
Naibu...
Suspect exhuming his son's corpse
The police command in Kogi state have arrested a middle aged man, Mr Hosea Folorunsho in Egbe town of Yagba West local government council for the alleged...
Three issues define the race to succeed President Mwai Kibaki.
Firstly, how the trials at the International Criminal Court will affect political stability and the fortunes of two of the leading...
Wadau wa Musoma na Mara ktk pita pita zangu mitandaoni hawa ndio Watu maarufu Mkoa wa Mara, mi naonaga kama mkoa baki sana kumbe nao wamoooo!
Notable persons from Musoma and Mara
Musoma has...
Ukistaajabu ya musa siku zote utaona ya firauni hii ndio hali halisi ilivyojitokeza katika wilaya ya Rombo mara baada ya kamishna wa jeshi la polisi kutoka makao makuu alipofanya ziara wilayani...
Kwahiyo wana mtwara msituletee ukabila na ukanda . je na dar nao wakisema bandari ni ya dar itakuwaje. kama hujaridhika ruksa kuhamia mkoa wowote uupendao
wakuu nimetoka kureceive txt kutoka kwa rafiki yangu akiniambia inabidi nizime simu kwanzia sa 0030 mpaka 0330 kuavoid hizo rays. is it true?Tonight 12:30 am to 3:30 am cosmo rays entering earth...
Habari za Jumamosi ya Leo Januari 05,2013?
Natumaini hamjambo na mko sawasawa katika kulisukuma gurudumu la nchi yetu.
Taarifa nilizonazo ni kwamba katika eneo moja linaloitwa Kakanguke/Ngoma...
Mwenyekiti wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa kilimanjaro kncu mernad swai ameandaa kiasi cha sh laki tano kwa kila mjumbe wa mkutano mkuu maalumu ili kumkingia kifua asivuliwe wadhfa huo...
Wakuu wa jf
Kuna tabia ambayo ipo huku mitaani kwetu kwenye vyombo vya usafiri
Tabia ya kulala kwenye vyombo vy usafiri.. sikatai kuwa huruhusiwi kulala kwenye vyombo vya usafiri ila sasa...
Hallo there ,yes you ???ß dont scroll down and IGNORE ;;;
Can you see them??
They are like you,They have blood flowing through their body like you.
But just look at them, look at what they are...
Gold Bars That can be broken like Chocolate ! Divisible gold 'Colombia' can easily be broken into one gram pieces and used as payment in emergencyPrivate investors in Switzerland, Austria and...
KAMPUNI ya Star Media Tanzania Ltd (Startime) imewataka watu ambao wamenunua vingamuzi na kubaini kuwa havifanyi kazi kuvirejesha kwenye ofisi zao ili wapatiwe vingine.
Vilevile wamewataka...
Nikiwa kwenye shughuli zangu za kawaida kwenye ofisi yenu ya Morogoro nilikutana na wateja zaidi ya mmoja hao wate ni wale wanaofanya shughuli za Mpesa wajasiria mali wakilalamika kuwa sim card za...
Kwa bahati mbaya mwaka 2012 ulikuwa ni mwaka mchungu sana hasa ktk tasnia ya sanaa,wasanii kadhaa walitutoka na pia wengine kufikishwa mahakamani na wengine kutafutwa na polisi.Nawazungumzia...
Asilimia kubwa ya graduate wa kibongo muulize plan zake hata akiwa chuoni..ni kichekesho kudadadadeki....atakuambia anaomba kwa Mungu apate kazi nzuri yenye kuvaa tai posta mpya then anunue gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.