Kuna ajali mbaya imetokea Nyololo ikilihusisha basi la Newforce likitokea mbeya kwenda Dar, watu watatu wamekufa hapohapo na wengine wamejeruhiwa. Basi liliacha njia majira ya saa nne tatu...
Chama cha wananchi CUF kinafanya mkutano wake wa kufungua mwaka jioni hii, wazungumzaji wakuu katika mkutano huu ni mbunge wa Lindi mjini (CUF) ndg Baruani na mbunge wa Kilwa Kusini (CUF) ndg...
Wadau naomba mwenye hotuba ya mheshimiwa rais JK ya funga mwaka jana na kuukaribisha mwaka huu anitupie hapa tafadhari,,nitashukuru kwa atakayetoa msaada huo.
habali ndugu zangu,kwa wale mnaopenda sana kusikiliza redio za dini mtakuwa mnaifahamu praise power redio...inayomilikiwa na mama yetu mpedwa doctor getrude rwakatale......ila sasa tokea tumeingia...
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige...
ndugu zangu ni msimu mwingine umewadia wa kuteketeza mabilioni ya shilingi kwenye kuadhimisha maadhimisho ya kitaifa hivi karibuni tutaanza na siku ya mapinduzi itakuja muungano,zitakuja na...
Wana Bodi
Hii kweli ni mbaya sana, Sajuki alikuwa anaangaika huku na kule kutafuta 28M kwenda india kwenye matibabu, mpaka anaaanguka jukwaani arusha alikuwa na 7M, leo watu tunaona ufahari kutoa...
Japo nayachukia MAGAMBA yote hasa kutokana na UGAMBA wao ila sichukii watu...
Hongera ya kuzaliwa BWANA EDO..Hongera kwa kufikisha miaka 63 sasa...
Namuomba MUNGU akujalie uishi zaidi ya miaka...
"Within a colonial or neo-colonial state structure the locus of power lies outside the national boundaries, having only a local representation in the form of an administration or through the...
Sioni sababu ya serikali yenu kung'ang'ania gesi ya mtwara ije dar kwasababu,
1.hyo mitambo ikiwekwa Mtwara ktapungua nini?
2.hvi nyie magamba mnajiona mnaakili sn kuliko wananchi syo?
3.toka...
Wana JF, kweli huu ni ungwana? Wananchi zaidi ya 40 walipoteza maisha kule Nyamongo, North mara katika wilaya Ya Tarime, mkoa wa Mara kutokana na uchafuzi wa mto Tigithe,mpaka leo familia ya...
Kuna mambo mengi ambayo yalitikisa Tanzania, sijui kwa sasa yameishia wapi au kama yameishapatiwa majibu, kwa mfano tukianza na EPA. Kiwira, Meremeta, Deepgreen, IPTL, Downs, BOT twin tower...
Three years ago cholera claimed the life of person in Sombetini, Arusha City where mounds of garbage were a common sight, but thanks to the proactive youth and the growing recycle and bio-fuel...
Wakati kuna vyombo vya usimamizi ikiwemo BODI ya Maziwa Tanzania , Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) ambavyo vinahusika kuhakikisha inaratibu kiwango...
Wana jf nataka kuuliza swali kuna ugonvi gani mkubwa kati ya tanesco na huu mji wa tabata, kwakuwa hazi wezi kupita wiki mbili mfululizo bila umeme kukatika, tatizo linakuwa wapi? Kwani kama...
Nilienda kwenye msiba wa Kaka yangu miaka michache iliyopita na kushangaa kuona ndugu zangu wakiwa wamekaa nyuma na kupisha viongozi wa siasa kwenye viti vya mbele pale nyumbani kwetu. Mimi kama...
Visitors to the Vatican can no longer pay by credit or debit card.
Reuters/REUTERS - Pope Benedict XVI waves after leading his Wednesday general audience in Paul VI's Hall at the Vatican...
I have never seen such a divided people in my life! Black caribbeans think they are more superior than Black Africans; black Americans think that they are more superior than black caribbeans and...
Habari wanabodi,
Kijana mmoja amefariki dunia wiki iliyopita baada ya "kunaswa" kwenye mashine ya kusafishia chupa (wash machine) katika kiwanda cha bia (Tanzania Breweries Ltd-Dar es Salaam)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.