EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,117
Kuna jamaa yangu kmsng namjua vlvyo kwan nmesoma nae A-level to Univesity jamaa mda mwing sana anakuwa serious na mambo yake yaan hana tym ya kupga domo,haibi cha mtu,hatukani mtu,hali cha mtu,hapigi mtoto wa mtu zaid akpta ni salamu tu ni mwepes wa kusklza bt mgumu sn wa kuongea very serious NMEMKUTA room kwake analalamika kwamba watu wanamsema vbaya ksa yuko srias sn anataka nmshauri bnafs nmemwambia aachane nao aangalie mambo yake hata uishje wanadamu huwawezi.