Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,315
Heri ya mwaka mpya wakuu.naelezea masikitiko yangu kwa hii barabara ya PAMBA hapa mwanza na wewe kama ni mkaazi wa hili jiji utakubaliana nami kile kipande mbele ya kituo cha polisi mwanza kilichukua zaidi ya mwaka kukarabati na sasa hivi hapafai hata kutazama ,walitumia wire mash za madirisha kutengeneza mifuniko ya mitaro na sasa imebomoka ,barabara imepinda na mashimo ni kibao yaani hii ni aibu kwa yeyote aliyehusikua hasa mainjinia uongozi wa jiji,mbunge na tanroad.wametafuna hela na kazi haina ubora.