Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Fedha za Kikwete mpaka sasa hatujaelewa kama ilikua ni siasa maana nilijua neema imekuja lakini mpaka sasa sielewi tena au ndio mkopo!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto huyu ni kichwa. Kasoma Darasa La Tatu akarushwa hadi Darasa la Sita, Kisha akafaulu vizuri sana kuingia Kidato cha Kwanza, Kaka zake ni Manamba wakashindwa kumlipia ada za shule. Kutokana...
6 Reactions
43 Replies
9K Views
Wakuu katika pita pita zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na page ya raisi wetu katika twitter ,,sasa naomba kuuliza je ni yeye mwenyewe kweli au ni watu tu wameweka account kwa kutumia...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Wana JF salam. Hapa jamvini kumekuwa na michango mizuri sana kuhusu huyu Mheshimiwa zaidi ikijikita kwenye Mazuri yake,Mabaya yake,Mambo ya kisiasa lengo ni kuwajuza wengine wasiomjua. Mimi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu katika pita pita zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na page ya raisi wetu katika twitter ,,sasa naomba kuuliza je ni yeye mwenyewe kweli au ni watu tu wameweka account kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Katika pita pita zangu kumbi mbali mbali zinazoonyesha game jana nilibaki mdomo wazi kwan real madrid ilionekana kuwa na washabiki wengi zaidi nilivyozoea,,,,,, Barcelona imekuwa ikichezea mpira...
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Sijawahi sikia wateuliwa wa tume wakikataa au kujitoa. Ivi wanalipwa shilingi ngapi? ni fix, legotiable au wanajitolea?! Badget za tume huwa zinapitishwa na nani?! Mfano tume ya leo ya mauaji ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A boy (about 12 yrs) has an erection from Friday to now. He has been prayed for and he is heading to wash room to urinate. I will keep u posted.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wote wawili wanatoa huduma za jamii za umeme na maji kama walivyotajwa. Muda huu,huku kwetu Mikocheni,kila mmoja amekata huduma yake. Wananchi wanasubiri kwa hamu huduma zirudi. Si TANESCO wala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamvi salama? Jaman mimi kwa upande wangu nadhani ndo sieleyi sjui!!. wengine nimewaona huku wanachekelea waliomaliza mitihan ya kidato cha sita!!Vijana wa mtaani waliomaliza kdato 4 na cha 6...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna tetesi newhabari itauzwa kwa mwekezaji mmoja wa kipakistan ambaye amekubali kununua zigo la madeni. Wenye taarifa zaidi Jf. watujuze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa taarifa nilizozipata kwa jamaa alieko monduli Arusha kwamba mwanafumzi wa kike aliemaliza shule moja hapo minduli na kufeli kidato cha 4 ajinyonga na kufariki kisa matokeo mabaya ya mwaka huu...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Why the city is overtaking Nairobi, Johannesburg and Kampala Tanzania runs a housing deficit estimated at 3 million units valued at $180 billion The current annual demand for houses in urban...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
..........
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Inahusu mila na tamaduni. Unafanyaje unapokuwa na duka na mteja aliye mbele yako ni mama mkwe wako? Mwalimu, Profesa Mbele ameligusia hili la mila na destruri za Kiafrika kwenye...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
TAKUKURU yawahoji watuhumiwa TTCL...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
IMAM wa Msikiti wa Thaqi B,Hamza Omary (37) maarufu kama Mohamed amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza,akikabiliwa na mashitaka mawili ya uchochezi. Alifikishwa mahakamani...
1 Reactions
86 Replies
8K Views
PADRI wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza, Alfonce Twimann'ye mwishoni mwa wiki alilazimika kujificha katika nyumba ya watu baada ya kukimbizwa na watu wasiojulikana eneo la Nyakato mkoani...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Wadau, Nakumbuka TCRA walitoa tamko kwamba ifikapo tarehe 1 March (leo) gharama za kupiga simu kwenda mtandao wowote TZ itakua Tsh. 37 kwa dakika. Je limetekelezwa? Sitaki kuamini kwamba TCRA ni...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale Mtoni Sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom