Najaribu kujiuliza kama Television ya taifa ya Kenya ingetumia kodi za Wakenya kurusha matangazo live ya uchaguzi wa Tanzania.
Ivi watanzania tuna nini?
Ivi TBC mmeshindwa hata kuonyesha kilimo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakaazi wa kijiji cha Narungombe wilayani Ruagwa mkoa wa Lindi, wamejikuta wakiwa katika hali ya taharuki baada ya asikari wa kutuliza ghasia kuvurumisha mabomu...
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!
kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende...
saruti wana jf
ndugu yangu mtanzania hata uwe dr, mhandi, mwanasiasa, msomi wa phd, mwanaharakati na kiongozi yeyote hapa tz, nani amefundishwa na mwalimu mwenye ufaulu wa dv 1? Pamoja na kuwa na...
Kwa muda mrefu nimekuwa nafatilia vipindi vya Itv,eatv na star tv haswa taarifa za habari ambapo ikifika kipindi cha taarifa ya habari lazima kuwe No signal au scratch nyingi ambapo hupelekea...
Asha Salum, ambaye shughuli yake ni kuokota chupa za maji zilizotumika.
Kutokana na ugumu wa hii kazi, kila nikiamka asubuhi akili, nidhamu na aibu naviacha kitandani, ninachojua ni kuokota...
Katika muonekano wa FIFA shirikisho za vyama vya mpira katika nchi mbalimbali ni mali ya vyama vya soka na wadau wengine katika nchi hizo, wala shirikisho hizo sio mali ya serikali. Sasa serikali...
Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ameuwawa kwa kupigwa na risasi na polisi.tukio limetokea leo saa kumi jioni baada ya wanakijiji kufunga barabara kwa magogo wakidai malipo yao ya pili ya...
Taumatawhakatangihangakoauauotamateahaumaitawhitiurehaeaturipuk-
akapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu
Ni jina refu kuliko yote duniani.
Ni jina la mtaa huko New Zealand...
Jamani wanaJF. Sijawahi kufika kisiwa cha Mafia wala hata kusikia mtu akielezea kuwa ametoka ama anaishi huko. Lakini sasa nalazimika kwenda huko kwa utalii wa wiki moja, tarehe11 mpaka 17 mwezi...
Dar es Salaam. Viongozi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), jana walikumbwa na msukosuko wa ghafla baada ya bodi mpya kumngoa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Leandri Kinabo na kutangaza hatua...
Penniless ... Maharage Musa
A HOLIDAY camp in Serbia is being used as a launch pad by illegal immigrants plotting to sneak into Britain to gain access to the NHS.
If I get to England...
watu wallipia pesa kibao wakapimiwa viwanja kulingana na eneo la mtu analomiliki ,mchakato umekwenda hadi huko aridhi, lakini hadi leo watu wanapigwa danadana , hakieleweki ofa hajapata ,hati...
Habari wadau na wataalamu wa majina ya watoto, napenda kuuliza swali hili kwa sababu limemtokea rafiki yangu, yeye ni muislamu na akabahatika kupata baby girl, na ameona jina litakalomfaa ni...
TANESCO KULIKONI,? Habari zinapasha kuwa, shirika la ugavi wa umeme liko taabani, kiasi kwamba mtoa taarifa amesema linajiendesha ki-hasara, pamoja na kuchukua tozo kubwa kwa watumiaji wa nishati...
Nilikuwa nampelekea Kisimbusi mke wangu Moro ambacho nilikuwa nakitumia hapa Dar,wakati na mpa taarifa hiyo mke wangu akanipa taarifa kuwa kaambiwa na mfanyakazi wa Startimes kuwa huwezi kuona au...
Jeshi la Polisi ni moja ya taasisi zinazoheshimika sana kitaifa na kimataifa, wafanyakazi wa jeshi hili wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii.
Inakera na kusikitisha ninapowaona askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.