Kisa we mjeda au ndo ubabe??

Kisa we mjeda au ndo ubabe??

Fikra mlazo

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
237
Reaction score
37
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale Mtoni Sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!

Waliwatoa mkuku,waliwapga,Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??

Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.
 
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??

Mauaji yapi hayo unayaongelea?

Sasa uliaka watu wame"Breach" kambi wapewe pongezi??
 
Si hvyo kaka,ila lazma kuna taratbu za kufuata kulingana na sheria.
We mgen hapa tz hadi usijue mauaji yalotokea?
 
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.

Kweli fikra mlazo hizi.
 
Si hvyo kaka,ila lazma kuna taratbu za kufuata kulingana na sheria.
We mgen hapa tz hadi usijue mauaji yalotokea?

Mi sio mgeni ila sijasikia maujai ya JwTZ kama uliyosema ila katika hilo uliloliongea ni kweli kuna taratibu za kufuatwa ila kama watendaji wameamua kutumia nguvu ama kukimbia SOP zinaeleza nini cha kufanya.
 
tunasema kila siku kuwa mtu akiwa askali iwe wa polisi,mgambo,magereza,jwtz wanajiona wapo juu ya sheria
 
Matukio mengi ya chinichini bwan@Gobore,hata juz kat kwny media wamesema mtandao mkubwa uliopo,ni vile tu kesi huzimwa kimya kimya
 
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.
Eti nini?
 
tunasema kila siku kuwa mtu akiwa askali iwe wa polisi,mgambo,magereza,jwtz wanajiona wapo juu ya sheria

Wote wana vijitabia vnavyofanana,ila wajesh wamezidi.kama kuna cku moja nlienda supamaket moja yao nkaulizwa kwa nin nimepita kotdm nimeacha supamakets nimekwenda kwao?naenda kununua nin?alimradi maswali ya kipuzi,huku wanaruhusu wenyewe watu kununua.
 
Walifuata nini kwenye huwo uwanja na ilhali kuwa uwanja wao umezunguushiwa uzio na bango kuwa kuna mbwa mkali! Au walitaka kwenda kushuhudia ujenzi wa CASINO kwenye huo uwanja kama umeishaanza!
 
wakipelekwa vitani, milio tuu yamabomu, yanarudi majeneza tuu.Kazi yao kuonea raia wema wasio na mafunzo.
 
ifike mahali tusiwachukie askari wetu, ila na sisi tujichunguze kwanza. Hivi kweli tusipowachokoza askari wetu wa JWTZ wanaweza kutusulubu bila makosa? Mimi binafsi naamini JWTZ hawawezi kunisulubu kama sijawakosea. Na kwa nini tuwachokoze??? Ukiwachokoza tu umewakumbusha machungu, watakubutua wewe!!!!!!!!!!!!. Hebu tuwaheshim,na kutii sheria na taratibu zao tunapopita katika maeneo yao.
 
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.

yaani mnapenya kambini tuwaachie aroooo yaani ningekuwa karibu hapo mpaka sasa hivi mngekuwa mnahenya sijui kwanini sajent arifonsi aliwaachia
 
Hahaha,hauna usajent wala ukoplo wowote
 
ifike mahali tusiwachukie askari wetu, ila na sisi tujichunguze kwanza. Hivi kweli tusipowachokoza askari wetu wa JWTZ wanaweza kutusulubu bila makosa? Mimi binafsi naamini JWTZ hawawezi kunisulubu kama sijawakosea. Na kwa nini tuwachokoze??? Ukiwachokoza tu umewakumbusha machungu, watakubutua wewe!!!!!!!!!!!!. Hebu tuwaheshim,na kutii sheria na taratibu zao tunapopita katika maeneo yao.

Sikatai kuwa hatupaswi kuwachokoza ila ndo watukane raia matusi jamani?
 
Walifuata nini kwenye huwo uwanja na ilhali kuwa uwanja wao umezunguushiwa uzio na bango kuwa kuna mbwa mkali! Au walitaka kwenda kushuhudia ujenzi wa CASINO kwenye huo uwanja kama umeishaanza!

Mara nyingi huwa vijana wanafanya mazoezi ya mpira pale,ila that day hao wajeda walipotokea haijulikan wakawacharaza na kuwatusi mbele ya umma.
 
Back
Top Bottom