KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,827
- 12,321
Sijawahi sikia wateuliwa wa tume wakikataa au kujitoa. Ivi wanalipwa shilingi ngapi? ni fix, legotiable au wanajitolea?!
Badget za tume huwa zinapitishwa na nani?!
Mfano tume ya leo ya mauaji ya Padre Mushi wamekubaliana kulipana kiasi gani?
Badget za tume huwa zinapitishwa na nani?!
Mfano tume ya leo ya mauaji ya Padre Mushi wamekubaliana kulipana kiasi gani?