W Waambi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 737 Reaction score 81 Mar 3, 2013 #1 Kuna tetesi newhabari itauzwa kwa mwekezaji mmoja wa kipakistan ambaye amekubali kununua zigo la madeni. Wenye taarifa zaidi Jf. watujuze
Kuna tetesi newhabari itauzwa kwa mwekezaji mmoja wa kipakistan ambaye amekubali kununua zigo la madeni. Wenye taarifa zaidi Jf. watujuze
M my web JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 1,592 Reaction score 243 Mar 3, 2013 #2 tafuta ikijaa tuletee kitu kamili
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,648 Reaction score 19,042 Mar 3, 2013 #3 unahakika...?
M mahakama ya kazi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 1,520 Reaction score 245 Mar 3, 2013 #4 rastam alinunua ili kupotosha jamii yamemshinda