SERIKALI imejiwekea lengo la kutahiri wanaume milioni 2.8 ifikapo mwaka 2015, baada ya kufanikiwa kuwatahiri 287,055 kati ya mwaka 2010 na 2012.
Hayo yamebainishwa...
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume...
Most Dar es Salaam residents living in all corners of its suburbs faced great challenges of acquiring land on which to build permanent houses of their own, a week long survey by The Guardian can...
Drunken parties at the seminary, crushes on young 'pups' and a gay mafia accused of bringing down Britain's top Catholic Stepping down: On Monday, Cardinal Keith O'Brien, 74-year-old Archbishop...
Nimebahatika kufika na kuishi wilaya zaidi ya 19 za Tanzania bara! wadau, hii wilaya ya moshi vijijini iko tofauti sana, kimaendeleo japokuwa mazingira yake mengi ni ya vijijin..kama umefika...
MSANII wa filamu asiyekaukiwa na skendo, Lulu Semagongo 'Anti Lulu' hivi karibuni alijikuta akiaibika kwenye onyesho la Bendi ya Extra Bongo baada ya kuvamia jukwaa na kuanza kucheza huku...
Ningependa kuchukua fursa hii adhim kuwashukuru sana JF family, WAPENZI wa JF wasiowanachama kwa ujumla. Kwa JF Family nawashukuru kwa michango yao ambayo imefanikisha serikali kutoa tamko kuhusu...
Nimekuwa nikifikiria matukio mengi yanayofanywa na police huwezi amini kama hawa watu wana ule utu unaotakiwa kuwepo ndani ya moyo wa binadamu. Kila mara utasikia police kauwa raia asiye na hatia...
OPERESHENI ya kuwasaka wezi wa maji Dar es Salaam, juzi imechukua sura mpya baada ya mkazi wa Tandale Chama, wilayani Kinondoni ambaye ni mwanamke (jina tunalo), kuvua nguo zote.
Chanzo cha...
Wafanyakazi wawili wa hoteli ya
Peacock wameithibitishia mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu jinsi
walivyozihakiki fedha za mtego za
Taasisi ya kuzuia na kupambana na
rushwa (TAKUKURU) ,alizokutwa...
Wabongo wengine bwana tumeambiwa ndege mbovu tukashushwa cha ajabu mwazo lowasa hakuwepo saizi napanda namkuta kwenye ndege tena jirani yangu mbele kabisa.sasa si wangesema jamaa kachelewa so...
'NACHEKA kwa huzuni ninaposikia sasa vilio vya Watanzania kila kona. Vilio vya msiba wa elimu. Vilio vya matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka jana. Nacheka kwa huzuni bila machozi. Yaliacha...
Kwa mda hapa mwanza shughuli zetu za kimaisha zimekuwa haziendi kutokana na umeme, shirika la tanesco linatuweka kwenye mgao tusioufahamu, mara kadhaa kauli za kisiasa zimekuwa zikibainisha kuwa...
Matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2013 kwa ujumla ni mabaya nchi nzima.Shule chache sana zimepata wanafunzi wenye grade 1 na 2.baadhi ya wilaya zimepata mwanafunz mmoja mwenye gradw 1 kama kyela,na...
Wahamiaji haramu 34 raia wa somalia na ethiopia wamekamatwa kitumbi handeni tanga wakiwa ndani ya kontena. kwenye kontena wamekuta mmoja kafa lakini wengine zaidi zaidi ya 50 wamekimbia.
source...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.