Gharama za kupiga simu kupungua:

Gharama za kupiga simu kupungua:

Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
3,828
Reaction score
2,396
Wadau,
Nakumbuka TCRA walitoa tamko kwamba ifikapo tarehe 1 March (leo) gharama za kupiga simu kwenda mtandao wowote TZ itakua Tsh. 37 kwa dakika. Je limetekelezwa? Sitaki kuamini kwamba TCRA ni 'a mere barking/toothless dog'.
 
kaka naona umekaa mpaka saa tisa usiku unasubiri gharama za simu kupungua.....
 
kwako ndo saa tisa....kwangu ilikua saa 4 asubuhi, sasa ni saa 7 adhuhuri!... Vp zimepungua kweli?
 
Usanii mtupu kwangu wanatafuna kama kawaida
 
Wadau,
Nakumbuka TCRA walitoa tamko kwamba ifikapo tarehe 1 March (leo) gharama za kupiga simu kwenda mtandao wowote TZ itakua Tsh. 37 kwa dakika. Je limetekelezwa? Sitaki kuamini kwamba TCRA ni 'a mere barking/toothless dog'.

Usiwaamini watanzania, wote manyang'au!
 
Piga si uthibitishe,au muulize mtu wako wa karibu apige
Wadau,
Nakumbuka TCRA walitoa tamko kwamba ifikapo tarehe 1 March (leo) gharama za kupiga simu kwenda mtandao wowote TZ itakua Tsh. 37 kwa dakika. Je limetekelezwa? Sitaki kuamini kwamba TCRA ni 'a mere barking/toothless dog'.
 
Wadau,
Nakumbuka TCRA walitoa tamko kwamba ifikapo tarehe 1 March (leo) gharama za kupiga simu kwenda mtandao wowote TZ itakua Tsh. 37 kwa dakika. Je limetekelezwa? Sitaki kuamini kwamba TCRA ni 'a mere barking/toothless dog'.

Sio kuwa zitakuwa sh 37, bali connection fee itakuwa sh 37 kwa dakika! halafu ongeza sijui sh 1 kwa kila sekunde ndo itakuwa gharama za simu.

Kwa kifupi inatakiw iwe hivo ingawa itachelewa, na ndio maana mitandao yote imeanza kutoa huduma nyingine ya kupiga mitandao yoyote kwa gharama fulani kama ofa ya KABAAAm ya tigo ni ili wao wapate faida zaidi wakijua gharama zimepungua ili wanaaamini watu hawajui hilo
 
tena tigo ndo wezi wakubwa, wanatafuna hadi inatia hasira..
 
Ngojha sasa bhagosha tuonage kama TCRA ameshaotaga majino

200px-Toothless_Sun_Dog.jpg
 
nchi hii kila kitu siasa.mbona toka walivyotangaza kipindi kile sijawasikia tena au waligahili.
 
Labda mpka pale wakbwa wa nchi wtakpotoa share zao ktk makampun hayo,lkn paspo kufnya hvyo tutaendlea kubuluzwa ma siasa zao mpka mwsho!
 
Back
Top Bottom