Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa miaka mingi baadhi ya wazazi walitegemea kununua mitihani ili watoto wao wafaulu. Wanafunzi wengi hawasomi! Wana vyeti lakini haviwakilishi umahiri wao kitaaluma. Kosa kubwa la Joyce...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By CNN | Wednesday, February 27 2013 at 09:56 TED curator Chris Andersen with Richard Turere, the young Maasai boy who figured out how to scare off lions by irritating them with flash...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
  • Closed
Gerald Hando amezidi kujishaua ka yeye ndo mmiliki wa hiyo redio. Eti asubuhi anasema ooh Kanisa Katoliki linapitia ktk misukosuko. Waumini imani zao zitakuwa mashakani. Yeye ni nani hadi aongee...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Nimefuatilia jicho letu ndani ya habari star tv na mkuona mzee mkinga akidai kwamba madai ya waalimu ni upuzi na kutoa data za kisiasa juu ya mishahara kati ya shule za serikali na binafsi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za ijumaa wanajamvi?? nawasilisha masahibu yangu na kama ikitokea kuna ushauri wowote tafadhali nauhitaji than anything else. Ni hivi; mke wangu ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kwamba, hapa katika jiji la Arusha kumezuka mchezo mbaya sana na hatari kwa wananchi wote na sio kwa wakazi wa Arusha tu la hasha! Hivi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ile kesi inayomkabili sheikh Ponda mwanahakati na mtetezi wa ukweli wa waislamu na mali za waislamu itaendelea jumatatu baada ya upande wa mashtaka kusuasua ktk kutoa ushahidi waukweli na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
"TUKUMBUSHANE" Hivi Gazeti la Mwanahalisi liko wap? Naye Dr.ulimboka amehamia nchi gan? Hv mgomo wa walimu lin? Na mafisadi wa EPA watanyongwa lin? Hivi unakumbuka mbunge analipwa posho kiasi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ili uchumi ukue serikali haina budi kuzifunga baadhi ya guest na bar . Kwani hazina faida yeyote kwa wananchi zaidi ya ngono na ulevi wa hovyo. Na baadala yake yawepo maduka ya pombe kama...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwahapa Tanzania bei ya iPhone 3GS GB16 original nikama sh ngapi?
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Kama kuna mahakama kuu za kanda kwanini isifanyike hivyo kwa upande wa NECTA? kwanini leo mtu atoke Tukuyu aje dar?
0 Reactions
0 Replies
888 Views
katika taarifa ya habari startv muda mfupi uliopita kamanda wa polisi amekanusha hakuna wizi uliotokea bali ni makubalianao kati ya wenye kadi za NMB na mkopeshaji aliezichukua ili ajilipe deni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukweli wa Mambo ndio huu. Bonyeza hapa kuona
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni kilio changu cha kimaskini kuwa Shirika la Nyumba linawaondoa wazawa kwenye nyumba za Shirika na kujenga nyumba nyingine na kuziuza kwa bei ya kuanzia milioni mia ambayo kwa mujibu wa shirika...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwanini stendi ya mwenge bidhaa nyingi ni za kina dada,na wateja wengi ndio hao kwa nini:frusty:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BREAKING NEWSSS ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BASI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA WANUSURIKA KUFA KWENYE AJALI ILIOTOKEA MPAKANI MWA SONGWE NA MBOZI MBEYA ZAIDI YA...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Siku nyingi Serikali imekuwa ikipiga vita uvutaji wa bangi. Ni kweli uvutaji bangi unayo madhara zaidi ya unywaji pombe au ni dhana tu? Je pombe imehalalishwa kutokana kusanyo la kodi kubwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, kumekuwa na tatizo la umeme lililopindukia hapa Tanzania, kiasi cha kutia aibu. Haiwezekani nchi yenye rasilimali zote muhimu kwa ajili ya kuzalisha umeme kuwa na mgao wa saa 24. (Kuanzia...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
fyi: note the following messages from various sources and...i don't what anymore...: ------------ --------- --------- --------- --------- --------- --------- ---- am writing to inform you that...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SERIKALI imejiwekea lengo la kutahiri wanaume milioni 2.8 ifikapo mwaka 2015, baada ya kufanikiwa kuwatahiri 287,055 kati ya mwaka 2010 na 2012. Hayo yamebainishwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom