ProBook
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 558
- 265
Wakuu katika pita pita zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na page ya raisi wetu katika twitter ,,sasa naomba kuuliza je ni yeye mwenyewe kweli au ni watu tu wameweka account kwa kutumia jina lake sababu anatweet kama kawaida,,!!