TANESCO,DAWASCO wako juu

TANESCO,DAWASCO wako juu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,143
Wote wawili wanatoa huduma za jamii za umeme na maji kama walivyotajwa. Muda huu,huku kwetu Mikocheni,kila mmoja amekata huduma yake. Wananchi wanasubiri kwa hamu huduma zirudi. Si TANESCO wala DAWASCO anayejali. Wao wanaendelea kuboresha huduma zao kwa njia ya 'migawo'. Wako juu!
 
Tatizo sio TANESCO na DAWASCO. Ni mfumo mbovu wa nchi..Hizo taasisi ni za serikali na zinaendeshwa kwa kiasi fulani kwa sera za chama
 
kumbe wenzetu wa mikocheni mna maji ya dawasco? Huku mbagala kiburugwa hata hatujui kama kuna kitu kinaitwa dawasco
 
We all look like headless chicken bse of these two hopeless institutions
 
Back
Top Bottom