Barcelona FC vs CCM

Barcelona FC vs CCM

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Katika pita pita zangu kumbi mbali mbali zinazoonyesha game jana nilibaki mdomo wazi kwan real madrid ilionekana kuwa na washabiki wengi zaidi nilivyozoea,,,,,,

Barcelona imekuwa ikichezea mpira sanaaa ikishindwa hata kupiga mashuti langon mwa real madrid,,,,,

Najaribu kutafakari jinsi barcelona inavyochezea mpira lakn ikishidwa kufunga magoli.....???

Naifananisha barcelona na CCM katika siasa wamekua wazuri sanaaa wa kuongea ila kutimiza ahadi kwao imekuwa ngumu!!!!

Nape suala la kutawala milele ni ndoto za abunuasi kwan iko siku mtachezea kichapo kama inavyoikuta club ya barcelona!!!!


Jipimeni mapema tena sanaaa 2015 si mbali la sivyo anguko lenu laja kwan tutapark bus kama zifanyavyo team pinzan zikutanapo na barcelona!!!!

Njia sahii yakuindoa CCM madarakan ni "kupark bus" na nitaotelea maana yake ifikapo 2014

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nape naye si Taahira tuu na IV 29 yake,eti milele hajui. Mwenyezi Mungu tuu ndo aishie milele!
 
Back
Top Bottom