Is Our president JK in twitter,,??

Is Our president JK in twitter,,??

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
558
Reaction score
265
Wakuu katika pita pita zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na page ya raisi wetu katika twitter ,,sasa naomba kuuliza je ni yeye mwenyewe kweli au ni watu tu wameweka account kwa kutumia jina lake sababu anatweet kama kawaida,,!!View attachment 85400
 
Wakuu katika pita pita
zangu katika mitandao ya kijamii nimekutana na page ya raisi wetu katika
twitter ,,sasa naomba kuuliza je ni yeye mwenyewe kweli au ni watu tu
wameweka account kwa kutumia jina lake sababu anatweet kama
kawaida,,!!View attachment 85400

Mböna wewe hujaulizwa uwepo wako hapa Jf!😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom