Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Nimeona ni vyema kuanzisha mada hii kwa ajili ya haya yaliyojiri bungeni kuhusu Afisa mtendaji mkuu wa TANROADS,Epharaim Mrema ilipostiwa mahali ambako nadhani isingepata attention inayostahili...
0 Reactions
252 Replies
46K Views
UCHAGUZI US Ni miezi miwili imebaki kwa Taifa kubwa la Marekani kufanya uchaguzi. Wiki mbili zilizopoita Democrats na Republican vilifanya mikutano ya kuwathibitisha wagombea. Mwaka huu kutokana...
10 Reactions
243 Replies
43K Views
Wanajamvi, uzi huu utakuwa endelevu ukizijadili siasa za Marekani kuelekea uchaguzi Tumefanya hivyo chaguzi zilizopita na tunaendelea ingawa tumechelewa kidogo Siasa za ndani ya nchi zimechukua...
44 Reactions
232 Replies
57K Views
Utangulizi Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais J.P.Magufuli (CCM) imeanza kuwatumikia wananchi kwa kipindi cha (2015-2020) kwa mujibu wa katiba ya JMT(1977). Vipaumbele vikuu vya serikali...
21 Reactions
223 Replies
49K Views
Madudu mengi na ya hatari yanayotokea katika siasa za nchi yetu yanaashiria kuwa idara yetu ya Usalama wa Taifa imefika mwisho kiutendaji. Ebu ona:- -Rais akamteua Chenge baada ya kuvunjwa kwa...
8 Reactions
215 Replies
40K Views
Kuna wengine wetu tulikua wadogo mwaka 1995 kuweza kufuatilia kinyanganyiro cha uraisi mwaka huo. Ndiyo maana ningependa kujua zaidi nini kilicho jiri ndani ya CCM mpaka kupelekea kumteua raisi...
5 Reactions
193 Replies
21K Views
Mimi nikiwa mmoja wa watu ambao tumeweka matumaini makubwa kwa chama cha Chadema kuleta mageuzi nchini nina ushauri mdogo sana kwa Zitto kuhusu SIASA zake na misimamo yake ambayo ndiyo sababu na...
76 Reactions
187 Replies
23K Views
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Ingawa huu ni mdahalo, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahitaji kuwekwa sawa ili kuepuka upotoshwaji wa hoja. Hivyo nitaomba uvumilivu kidogo. Taifa lipo...
29 Reactions
185 Replies
19K Views
CCM wameshaamua nani watawawakilisha kwenye Ubunge, wamechuja chuya, wametupa makapi na mizoga. Sasa natoa tahadhari kwa CHADEMA; Ole wenu mkiipokea hii mizoga ya CCM na kuipa kadi na hata...
11 Reactions
185 Replies
25K Views
I rarely contribute on threads whose prime reason is discussing someone, but this got me! This is purely flawed phylosophy and logic. Who said that Nyerere was not predictable on matters of...
0 Reactions
177 Replies
32K Views
It is time for Mr. Rostam Aziz to resign. It is time for him to call quit all his political posts within the ruling party including resigning as the current MP for Igunga. I for one have had...
2 Reactions
174 Replies
17K Views
DEAR MZEE MATONYA WA UKWERENI.... Damn, Damn, Damn! Florida Evans would have cursed! Damn, Damn, Damn, Mchungaji Kishoka is cursing! Walahi huu Umatonya umetukaa fiti kama vile kushoneshewa...
1 Reactions
174 Replies
24K Views
Katika mijadala mingi inaonyesha, inaonyesha kuwa watanzania wengi wanakubaliana kuwa chanzo cha matatizo ya nchi yetu ni uongozi. Wengine wanasema kuwa ni nchi inaongozwa bila dira. Wengine...
12 Reactions
173 Replies
16K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Kwa ufupi Katika shauri hilo namba 84 la mwaka 1980 lililofunguliwa na William Bakari na mwenzake dhidi...
12 Reactions
164 Replies
15K Views
Ten years ago, one of our renowned intellectuals, Professor Issa G. Shivji, published a chapter titled "Critical Elements of a New Democratic Consensus in Africa (pp.25-38). It was featured in a...
9 Reactions
163 Replies
28K Views
Ili Chadema kiweze kuwa Chama mbadala, kinahitaji major overhaul ya kiuongozi na utendaji. Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010, yamoenyesha wazi kuwa safari ya Chadema kuinga Ikulu na kushika hatamu...
8 Reactions
161 Replies
17K Views
Wakati tunagombania ulaji wa Vitambulisho vya Taifa, ni lazima tuwe wakweli tujiulize huu uharaka wa kukamilisha hili zoezi, huku ukweli ni kuwa ni asilimia 25 (25%) au juu kidogo ndio watakuwa na...
0 Reactions
157 Replies
21K Views
Mojawapo ya hoja ambazo hatuzikii mara nyingi kwa wale ambao wanambebesha Nyerere lawama na mzigo wa taifa letu kuwa ni yeye ndiye aliyelivuruga ni kuwa Nyerere alipokea taifa lenye hali gani ile...
14 Reactions
154 Replies
16K Views
Wakubwa salaam, Ninawaletea hotuba yangu jimboni Kigoma. Asante HOTUBA YA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE KWENYE UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA UCHAGUZI JIMBO LA...
0 Reactions
152 Replies
18K Views
Kuna Wawakilishi na Wabunge ambao wamekuwa wakitoa lugha ya kuonesha kuchoshwa na Muungano na bila ya shaka wanazo sababu ambazo wanaamini zinawapa haki ya kutoa hisia hizo. Lakini wapo wengine...
15 Reactions
152 Replies
14K Views
Back
Top Bottom