CCM wameshaamua nani watawawakilisha kwenye Ubunge, wamechuja chuya, wametupa makapi na mizoga.
Sasa natoa tahadhari kwa CHADEMA; Ole wenu mkiipokea hii mizoga ya CCM na kuipa kadi na hata...
The Obituary, In Memorium...
In throngs they cheered him, showering and bestowed him praises. And he puffed his chest victoriously as they knighted him The Doc.." But..
But in reality he was...
Wanajamvi,
Hiki kifungu kimenitatiza kidogo nikiona kwa tafsiri na uelewa wangu ni nguvu gani Serikali Kuu inayo kwenye masuala ya matumizi ya fedha na/au mapato kwamaba bunge halina sauti bali...
Kwanini ni muhimu kwa taifa kujitegemea na ina maana gani taifa kujitegemea ?. Hili ni swalii muhimu kujiuliza kama taifa. Je ni jambo lenye thamani kwetu ama hapana?. Siku za hivi karibuni jamii...
Napenda kuhamasisha wenye kuweza kutujuza reasonable comparison kati ya Magufuli na Lowassa katika kusimamia rasilimali za Taifa. Hili lizingatie wajibu na majukumu yao kama mawaziri, na usimamizi...
Mabibi na mabwana taifa letu linapitia katika kipindi chake kigumu na katika kipindi hiki tunahitajika kutafakari kujua nini changamoto zetu na suluhisho la changamoto hizo. Changamoto hizi...
Mwaka huu ni mwaka muhimu sana kwetu kama taifa. Ni mwaka ambao taifa letu linaenda kwenye uchaguzi kuchagua viongozi wapya katika taifa letu. Kwahiyo nimeona nisikae bila kuandika kitu chochote...
Salaam.
Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wanachama mbalimbali wakiwemo na na viongozi wa ngazi ya Udiwani hadi Taifa kukimbia vyama vyao kuelekea vingine. Hasa hili liitwalo...
CCM ni chama, kinaongozwa na watu ambao wako Serikalini kama viongoZi wenye mamlaka ambao wanajilimbikizia mali kiujanjaujanja, kuruhusu upotevu wa mali ya umma (CAG report) na ufisadi mwingi tuu...
Nilitarajia Operesheni sangara ingeingia kila Wilaya na Mkoa si kujiuza kuhusu CHADEMA na kupiga vita CCM na kuioanisha na UFISADI, bali ni kuwatikisa Wabunge na Serikali za Wilaya.
Naangalia...
Amani, Utulivu na Mshikamano.
Maisha bora kwa kila Mtanzania.
Kasi, Ari na Nguvu Mpya.
Hizi tenzi tatu zimekuwa zikiimbwa majukwaani kwa miaka nenda rudi kuonyesha Tanzania kuwa nchi yenye amani...
Sitaongea mengi sana, lakini kama kichwa cha habari kinavyosema, hata katika kundi letu la kondoo au mshikamano wa mikakati ya uchaguzi wa 2015, kuna wenzetu tunaokumbatiana nao ambao ni Yuda...
Nilikuwa mtiifu mkuu wa CHADEMA, Nililia kwasababu ya CHADEMA ila kinachotekea sasa naona kama vile maigizo tena kwa wasanii wa Bongo Movie…!!!
-Toka lini Lowasa uliihitaji CHADEMA...
1. Awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya mpito, inahitaji utashi wa hali ya juu wenye busara na hekima kuturudisha mstari ulionyooka ili tushikamane
2. Ni ndoto, hasa kwa...
..tunaambiwa kwamba huyu bwana amebembelezwa ili agombee.
..taasisi yoyote inapoamua kutafuta mtu wa kuiongoza nje ya taasisi hiyo, basi uwezekano mkubwa ni kwamba walioko mle ndani wamekosa sifa...
Waungwana,
Ni nani na ni misingi gani ya utashi iliyojijenga kwenye akili za Julius Kambarage wa Nyerere kutuletea Ujamaa na Kujitegemea na hata Azimio la Arusha?
Wengi tunadhania kuwa ni...
Katika hiki Kitab Alf Layla wa Layla, napenda kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Subhana Wataala kwa kutupa Jakaya Mirisho Kikwete kuwa Raisi wetu.
We need to thank God for so much blessings to...
Uchaguzi 2015:
Itikadi kuu ya kitaifa iwe ni kujenga upya Tanzania, kama Taifa huru yenye kuzingatia vipaumbele vifuatavyo : Utu, Uzalendo, Ufanisi, Uwajibikaji, Uadilifu Uimara na Umoja wa...
Utangulizi: Kwa wanaonifahamu hapa JF, wanafahamu kuwa siasa zangu ni za mkondo wa kulia zenye kuhimiza maendeleo ya watu binafsi na wakati huohuo kulinda maslahi ya wanyonge (ubebari mwema...
CCM ni wanafiki, walaghai na waoga!
Hakuna ambaye anaweza kuniambia kuwa nyakati hizi na mambo yanayotokea Tanzania na ndani ya CCM kuwa kilichotokea Dodoma ndani ya CCM wiki iliyopita na kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.