Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,310 Mar 4, 2016 #2 Varda! Safi sana, hawa ndio waliimba Maridadi Sana, na video wakafanyia Shuleni kwetu Msasani. Teh...
Varda! Safi sana, hawa ndio waliimba Maridadi Sana, na video wakafanyia Shuleni kwetu Msasani. Teh...
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,262 Mar 5, 2016 #4 Hawa varda arts kumbe bado wapo! Mi nlifikiri walishasambaratika zamani!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,639 729,585 Mar 5, 2016 #5 Sir Good said: Click to expand... Aisee kama una zile nyimbo zao nazihitaji tafadhali