Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Habari yenu wadau wa jf.
Ntaenda moja kwa moja kwenye point. Nlikua naomba mwenywe nyimbo ya kassim mganga - nafsi nyonge (mp3) anitumie kwenye whatsapp. Naomba mwenye nayo unifate pm nkupe no. Yangu ya watsapp.
Nmei google mpaka nmechoka sijaipata. Youtube ipo ila nashindwa kuidownload.