Bongoflava to Africa bado ni kitendawili

Umenikumbusha kipindi cha Tuzo za MTVMAMA Kulikuwa na Kampeni ya "Vote for Davido " .
Napita tu mimi.
 
Umenikumbusha kipindi cha Tuzo za MTVMAMA Kulikuwa na Kampeni ya "Vote for Davido " .
Napita tu mimi.
Alafu tukiambiwa olduvai gorge iko kenya tunapiga kelele wakati tumekosa utamaduni wa kusifia vyetu vya ndani.Mtu yuko radhi a vote kwa davido kuliko m tz mwenzake diamond.Tunalaana c bure.
 
Mwandiko Mbaya sana huu,ila uliyosasema ni kweli,tunahitaji wasanii wengi wakutusua Africa ili tuseme bongo flava imevuka mipaka,hizi mbwembwe na ujinga ujinga wa BASATA na watanzania wavivu wa kufikiri hautatufikisha popote,tutengeneze kwanza muziki watu ndipo tutengeneze mabifu uchwara,sawa Ruge????
 
Back
Top Bottom