nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 525
Samahani kwa kichwa cha habari cha kizungu,nimeshindwa kuweka kwenye kiswahili kizuri....naomba nisaidieni kujua waheshimiwa wanaJF live streaming inayoonyesha movies,naijua hii inayoonyesha michezo mbali mbali inaitwa usagoals.net,imekaa poa sana ligi ya uingereza,spain,nk unaziona live....ila haitoshi kama nikipata ya movies niachane na kudownload,pia wapenda movies na series wenye bando za kushusha gbz web ni hizi:-g2g.fm,eztv.net,kat.ph na kwa simu series ni o2tvseries.com.....NYIE NAOMBA MNISAIDIE KUPATA LIVE STREAMING ZA MOVIES...