Wasanii hawa wametia aibu

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Hope your alright,

Sitaki kupoteza mda ila moja kwa moja niwataje wasanii hawa na wewe uweke wakwako wenye sifa kama hii ya kuaibisha bongo flava yetu.

Baraka da prince alitoa ngoma kali na tulimuelewa kwamba ni tishio mwisho wa siku ametoa nyimbo akiwa amepitia mule mule kujiigizia na wimbo wa kwanza na kufanya mashabiki wengi akiwepo mi mwenyewe kumuona hajiamini hivo siwekua shabiki wake namba moja pamoja na wengine wengi.

Harmonizer aka mtoto wa dimond sijui mdogo ake, huyu jamaa na ngoma yake ya Aiyola kidogo antie uchizi yaan hata nikiwa nyumba ya ibada ikapita gari inapiga hio ngoma nilikua na loose attention, nikamsubiri kwa muda mrefu nikajua anajipanga vilivobkumbe puuuuuuh aibu naye kaja kujikopi vile vile kwenye aiyola yake kifupi kazingua.
Dimond atampoteza huyu dogo akubali nyota hazifanani akimbeba saana akimdanganya kwa kiki au kutumia nguvu nyingi kulazimisha kuforce nyimbo ikubalike atampoteza coz Dimond is Dimond hatokujatokea kama yeye ivo nguvu anazotumia kumfikisha alipo yeye angesaidia na wengine.

Kifupi ni aibu kukopi either melody, beat, mistari au kick za ngoma yako iliyo hit nyuma ukazani utahit tena.... Shame on your super starz underground.
 
Kama Diamond anampoteza basi nenda kafanye zaidi yake tukusikie sio kwa kutumia ID za JF kuonyesha uvivu wako humu.
Wivu.com
 
Acha ushankupe wewe mi sijasrma kama nnachuki dimond boya wewe, jaribu kua na critical mind kukosoa sio chuki kubwa jinga weee

Dimond atampoteza huyu dogo akubali nyota hazifanani akimbeba saana akimdanganya kwa kiki au kutumia nguvu nyingi kulazimishakuforce nyimbo ikubalike atampoteza cozDimond is Dimond hatokujatokea kama yeye ivo nguvu anazotumia kumfikisha alipo yeye angesaidia na wengine

Hayo yote uliyosema ni umejisema wewe sababu ndivyo ulivyo so unafikiri ni kila mtu, kubwa jinga mkubwa ni wewe ndio maana unafikiria wengine na kazi zao zinakusumbua. Unatoka mapovu tu, eti haujamuongelea mfyuuuu zako. Mkome kabisa, kama unataka msaada kamuombe ila sio kubwabwaja humu eti asaidie wengine. WIVU.COM umuache na msanii wake
 
Kuna watu wanajishobokesha kwa dimond kama anawajua vile kumbe ushamba tuuu
 
Back
Top Bottom