Huyu ndiye Koffi Olomide siyo wa Ekotiteee!

Huyu ndiye Koffi Olomide siyo wa Ekotiteee!

Au mukitu kama hiki JULIA, kibao cha miongo kadhaa !


 
Hapa akiwa na vijana wabichi na wakali pamoja na FALLY IPUPA!

 
Hapo ni Bercy cheki kuanzia dakika ya 2.30

 
Mimi hiki chuma nilikikubali penye ultimatum baada ya hapo loi kidogo kisha nikajiuzulu kupenda nyimbo zake.
 
Back
Top Bottom