Wako wapi hawa wasanii wa Bongo Flavour?

Lovery

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
1,540
3,138
Tafadhali naomba kufahamishwa jambo hili maana nilikuwa shabiki mkubwa wa hawa wasanii.

Ester wasila.. Alitamba na kibao-sheila.

Hawa.. Aliyeshirikishwa na diamond katika wimbo- nitarejea.

Pauline zongo

Rah P.. Huyu alikuwa anaimba kwa kurap
 
Wote wapo.
1.Rap P mmewe alidakwa na ngada USA.
2.Paulin zongo yupo TOT band.
3.Hawa yupo na Band ya Family Zorro.
4.Esther wassira kila siku namuona Facebook akichangia mijadala.
 
Rah P katelekezwa huko marekani. .yupo kama omba omba..kuna uzi wake humu
 
Wote wapo.
1.Rap P mmewe alidakwa na ngada USA.
2.Paulin zongo yupo TOT band.
3.Hawa yupo na Band ya Family Zorro.
4.Esther wassira kila siku namuona Facebook akichangia mijadala.
Asante sana mkuu, pia Vumilia wa THT nae hatujui yupo nchi gani
 
Ester wassira ni mwanasheria wa kujitegemea na muziki ameshaupa kisogo tayar.
 
Sista P hasim wa Rah P, yuko wapi pia?
sister P mtoto wa Remmy Dah unanikumbusha mbali wewe. Kuna huu wimbo alirap alimshirikisha msela flani hivi 'achana nao' nadhan alikuwa an anamchana zay B. Naye Zay B akamjibu na Sir Nature 'zay b sasa yuko gado.

Huu wimbo wa Sista P 'achana nao' nimeutafuta sana youtube bila mafanikio.

Bongo ya 2001-2004 Acha tu
 
Ester wassira ni mwanasheria wa kujitegemea na muziki ameshaupa kisogo tayar.
kumbe jina lake ni Esther wasira Dah aliumba huu wimbo wa sheila vizuri sana mbona hajaudownload YouTube??

Nakumbuka alitoka baada ya kushiriki cocacola pop idol na banana zorro
 
Wote wapo.
1.Rap P mmewe alidakwa na ngada USA.
2.Paulin zongo yupo TOT band.
3.Hawa yupo na Band ya Family Zorro.
4.Esther wassira kila siku namuona Facebook akichangia mijadala.
sista P yuko wapi mkuu? Na video yake ya achana nao nitaipataje
 
Ester Wassira alikacha kusoma Kilakala baada ya ku hit na wimbo wake huo... Nilikuwa namgojea kwa hamu aje Kilakala nianze kumlia mingo ila ndio aka kacha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom