Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Wakuu,
Najua mtamkumbuka huyu kijana wa Kibongo flavor ambaye mwanzoni pindi anaanza mziki alifananishwa na Marlaw wa bembeleza, baada ya kutoa hits kibao kama Natumaini, Narudi Kazini n.k.
Badae alipotea kidogo ila nimebahatika kusikia Wimbo wake, copy ya Hello ya Adele, dah imenigusa sana!
Nimeikubali na nampa big up sana, I hope umerudi tena so usipotee tena!