foxolox
Member
- Nov 24, 2015
- 14
- 3
Unajikubali wewe bonge la dem, kipaji unacho, mvuto na kila kitu yani 100% haijalishi uko single au uko na boyfriend, Mishen town au mke wa mtu, model ama kimbaumbau, umealikwa Escape 1 Jumapili hii ya tar 06 March 2016. HAKUNA KIINGILIO
NI SPECIAL SUPRIZE KUKUPA HAKIKA YA KUTIMIZA NDOTO YAKO.
Perfomance by QS International Band
(Q chief, Bushoke, MB Dog etc)
Watu 200 wakwanza wanapigwa na complimentary ya Lunch kaliiiiiiii!
NJOO UTIMIZE NDOTO YAKO KIULAINI