Teh teh! Umenikumbusha Jangwani mwaka jana.Hata mie sijui! Lakini kama alivyosema Lema wako wengi.
Na yule wa Bunge la EAC ndio usipime kabisa! Mzee wa kofia oyeee, kifimbo oyee!
.Bwana mkubwa kasahau kuwa wapiga pombe aka kina Ahmada walipigia kampeni.
he he he