Jaman apa namsikiliza komandooo

Jaman apa namsikiliza komandooo

Kiintaneti

Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
65
Reaction score
18
Jide anatubamba hata ambao hatujaenda raha sanaaa East Africa radio kwa upande wa tv cjajuaa
 
Habari wanajamvi?
Niliangalia show ya Jide kwakweli kwanza nimpongeze saaana saaana maana amethubutu na ameweza na bila shaka naona jinsi Watanzania wanavoanza kukubali kazi za wasanii wetu wa ndani (ingawa sijaenda nkachangia ila nimechangia usingizi wangu kwa kuangalia mpaka saa saba).

Nauliza tu,Kwanini wanawake walikua wengi "sana" and very supportive kuliko WANAUME (wa dar?)
Athanteni
 
bado jamaa anampromote sema kivingine. maana amesababisha wanawake waende kwenye "sympathy street".. kwa maneno yake yale ya ...miaka 15... kajenga hate kwa wanawake who have turned out to support her, ivo aliewaza kufanya show wakati huu anajua biashara..
 
Back
Top Bottom