Kind Dodo Rais wa waKongo Tanzania atiwa Rumande

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Kwa habari toka ofis ya uhamiaji na polisi mmoja pia amesema kuwa bwana huyo yupo Rumande kwa siku kadhaa kutokana na tuhuma za Utapeli.

Kwa wengi wanaomfaham Mkongo huyu wamekuwa na malalamiko mengi kuwa amekuwa akifanya shughuli nying za kitapel tapel lakini safar hii amekutana na watoto wa mjini wameamua kumchachisha.

Sasa yupo ndani akiwa amechacha na pia inasemekana na mke wake naye aliwekwa ndani ila haijulikan kama ametolewa.

Tutawaletea habari zaid.
 
Chizi Maarifa,

Miaka yote King Dodoo La Bouche bado hajawa raia kamili wa Tanzania?! Chizi Maarifa tunasubiri habari Zaidi.

Video urefu Dakika 1:27 (dakika Moja sekunde ishirini na saba) video King Dodoo ni nani


Mkasi - SO8E02 With King Dodoo
MkasiTV
 
Back
Top Bottom